Mazishi ya Kulola kufanyika Jumatano wiki ijayo

amina ngalo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
309
Reaction score
170
Askofu mkuu wa kanisa la EAGT Ulimwenguni Dk Moses kulola atazikwa siku ya jumatano jijini Mwanza kwenye kanisa la EAGT

Viongozi wa dini mbali mbali na serikali wakiongozwa na maraisi wastahafu watashiriki mazishi hayo pia Raisi Kikwete inasadikika atakuwepo
 
Mzee Moses Kulola amefanya kazi kubwa sana kueneza neno la Mungu hapa nchini, tangu akiwa kijana mpaka umri wa uzeeni bado alikuwa imara katika imani yake.."kheri wafao katika bwana"
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
 
kwa wakati huu ni vyema tungepata taarifa kutoka kwa msemaji maalumu wa familia au aliyeteuliwa kwa ajili ya kutoa taarifa rasmi kwa umma.
ili tuwe na taarifa sahihi.
 
Askofu ataagwa pale Temeke EAGT kuanzia saa nne kamili jumamosi
 
EAG ipo dunianzima mwasisi wake ni Askofu kulola kwa.hapa Tanzania inaitwa EAGT
 
Askofu mkuu wa kanisa la EAGT Ulimwenguni Dk Moses kulola atazikwa siku ya jumatano jijini Mwanza kwenye kanisa la EAGT

Viongozi wa dini mbali mbali na serikali wakiongozwa na maraisi wastahafu watashiriki mazishi hayo pia Raisi Kikwete inasadikika atakuwepo

Mheshimiwa Askofu Moses Kulola ni zaidi ya Askofu na zaidi ya Mchungaji na pia ni zaidi ya Mwalimu.. Haitoshi kuitwa Baba wa wachungaji wengi... ni mwasisi wa injili iliyo hai katika Tanzania.... yeye ni Baba na kiongozi wa maelfu ya Wachungaji na baadhi yao ni maarufu maarufu nchini baadhi yao wamefungua makanisa yao na wengine bado wako TAG na wengine wako EAGT ..nataja wachache.. Mama Lwakatare , Antony Lusekelo, Zakaria Kakobe, Efraim Mwansasu wote wamepita na kujifunza kupitia kwa Mzee Kukola... alikuwa ni Mchungaji halisi na mchungaji asiyekuwa na makuu ... injili aliihubiri...vita vya imani alivipiga vizuri sana vita vya imani, mwendo ameumaliza ni Mchungaji na Askofu wa kuigwa na siwezi kutoa hukumu Mungu ndio anayetoa hukumu mpaka sasa yeye ndo NA. 1 na binafsi sina wa kumlinganisha naye..... hakuwa na mawaaa... aliipenda kazi ya uaskofu kwa kuhubiri kweli ya Bibilia kwa miaka mingi... sina la kuelezea kwa ufafanuzi Mungu ndiye anajua... Apumzike kwa amani Moses Kulola
 
Pumzika kwa amani Baba Askofu Mosses Kulola. Tunamshukuru Mungu Mwenyezi kwa zawadi ya uhai wako ambayo uliitumia kuhubiri neno la Bwana bila kuchoka.
 
No difference with Osama.... All Dead
 
Pumzika kwa amani Baba Askofu Mosses Kulola. Tunamshukuru Mungu Mwenyezi kwa zawadi ya uhai wako ambayo uliitumia kuhubiri neno la Bwana bila kuchoka.

Tuungane kumuomba MOLA ailaze Roho ya Baba Askofu Mosses Kulola, mahali pema PEPONI, Amin,
 
Natumai huyu sio bilionea.
Alikua ni mwana ccm aliyetukuka na alitumika kuwahadaa wananchi.
Mwaka 1999 alizunguka Tanzania nzima kuwadanganya watanzania kuwa trh 1/1/2000 ni mwisho wa dunia na watanzania walifurika kwenye mikutano wake wakigalagala, kutubu na kuwagana huku wakiaidiana kuonana mbinguni.
 
Askofu Kulola atazikwa siku ya Jumatano Mwanza kwenye kanisa la EAGT Bugando

Heshima za mwisho zinatolewa kuanzia kesho Dar kwenye kanisa la EAGT Temeke

Safari ya kwenda Mwanza ni siku ya jimapili

Pumzika kwa Amani mzee wetu
 
Back
Top Bottom