Udikteta wa Kagame usithubutu kuichezea Tanzania

Udikteta wa Kagame usithubutu kuichezea Tanzania

Status
Not open for further replies.
Kuna watu wanadhani vita ikizuka watakuwa wanashuhudia kupitia tv kama mechi ya mpira!
Jua kama ni kijana mwenye afya njema utakwenda mstari wa mbele kwa lazima!
mnajua vita ya uganda tulijiandaa kwa miaka mingapi?
mnakumbuka ugali wa Yanga? Vita si lelemama! tujadili kwa busara ili tuwe mfano gharama ya vita ni kubwa na always Vita ni last option kama una akili nzuri!
 
Hehehe naona umeamua ku come clean.

Nilijua tu wewe sio mtanzania. Mimi Wanywarwanda nimesoma nao shule ya msingi na sekondari kwahiyo nyie hamnipi tabu kabisa na tabia zenu chafu za kulala na ndugu zenu wa karibu ooops sorry.

Heheee...aisee kweli u knw them..wanaoana ndugu kwa ndugu..
 
Tanzania bana..hawa ndo wakapigane..hahaaa chinekeeee meee
Hahahaaaaa mkuu nimecheka sana du,jwtz uyo anatoka nduki ndio mpeleke Rwanda kwenye jesh la kisasa atakufa kabla ya kufika,kuna vingine humu tantalila nyingi njaa zinawasumbua..
 
Rais Dikteta Kagame wa Rwanda ameanza chokochoko kama zile allizofanya Dada Amini miaka ya mwishoni mwa sabini,Amini alianza kwa kurusha madongo kwa Mwalimu kama anavyofanya Dikteta Kagame,Kagame ameenda mbali na kumuita Rais wetu mjinga kwa ushauri wa kizalendo alioutoa Jakaya Kikwete,Kagame tunajua uporaji unaouganya Kongo,usithubutu kutuchezea tutakupa kichapo ambacho dunia itajua Tanzania sio nchi ya kuchezea

Kagame ni mwizi mkubwa sana kule DRC na kila mmoja anajua. Hatuwezi kibaraka Yule tutamsambaratisha kwa masaa 3 tu.
 
Mkuu Rock City TISS ya sasa ipo kwaajili ya kungoa meno bila ganzi wanaopinga serekali.

Ni lini TISS ilikucharanga mapanga na kukuharibu mdomo na meno yako? Unakaa kuaamini story za mtaani tu. acheni dharau na kejeli kwa vyombo vya dola.
 
Mkuu kingukitano achana na mjinga huyo Hana hata reserve ya mafuta ataua watu wake bure. Hatuwezi Yule hata tukiwaachia ndugu zetu wa ZNZ tu wanawasambaratisha. Mwizi mkubwa wa malighafi ya DRC
 
Amiri jeshi atakayeamrisha vita hivi atakwenda yeye.Mnajua uwezo wa Rwanda ki-silaha??? au mnapima kina cha maji kwa kijiti??? usiombe vita, nchi yetu kwa sasa hatuna umoja wa kuweza kupigana vita, kwanza polisi hawana mahusiano na raia, utategemea leo watanzania watoe michango kwa ajili ya vita??? Naona wengi mnashabikia hamjui madhara ya vita, vita vya mwaka 1979 wakazi wa kanda ya ziwa mashahidi, tulipata mateso tulitakiwa kuchanga kila kaya ng'ombe mmoja, wenye mabasi ilibidi mabasi yasafirishe wanajeshi, wenye vituo vya mafuta walitakiwa kutoa mafuta bure.

Kama watanzania tumesahau, mimi nitawashangaa.Ni gharama ndogo kujenga mahusiano na Rwanda kuliko gharama ya kupigana vita.Mshishabikie kabisa.


Lu-ma-ga
kinachozungumziwa si kuomba vita na Rwanda bali ni hali halisi inayojitokeza ya kutulazimisha kuingia kwenye ugomvi. Suppose utakapovamiwa utanyamanza kimya eti vita ni gharama? nikukumbushe kuwa na siraha ni jambo moja na kutumia siraha hizo kwenye mapigano ni jambo jingine, Idd Amin alikuwa na siraha nzuri sana je wapiganaji anao? Kuhusu mshikamano bado upo na ninaomba tutofautiane kwenye masuala ya ndani lakini inapokuja masuala ya Taifa kuchezewa na mshenzi kama kagame lazima tushikamane. Huwezi kujenga mahusiano na mtu anayejiandaa kukupigs. Kagame tangu mwanzo walimtilia shaka kuwa ni real threat kwa umoja wa EAC
 
hivi ule mkwara wa M23 umeishia wapi,
maana kimya kimezidi.?
 
Ni lini TISS ilikucharanga mapanga na kukuharibu mdomo na meno yako? Unakaa kuaamini story za mtaani tu. acheni dharau na kejeli kwa vyombo vya dola.
Kamuulize Dr.Ulimboka,Kibanda,Padri Mushi etc
 
Mtikila kesha waambia Kagame kapenyeza watu wake.
 
Ha! Mkuu kumbe umejidhihirisha kwamba wewe si mtanzania!. Mwanzoni niliona una argue objectively lakini kadri muda unavyoenda naona point zinakuishia na unaleta subjectively points!. By the way, umewasema vibaya Burundi,kwani Burundi si kuna ndugu zako wa ki tutsi wengi tu,mbona mnawabagua na kuwaona hawafai?

Kuna watu Tanzania uko vijijin hata hawajui kama kiswahili ni lugha ya taifa,lugha inayopigiwa upatu lakin mashuleni lugha ya kufundishia kingereza,interview maofisin kingereza,yani tanzania hamna jipya zaidi ya njaa zinawasumbua.
 
Mungu ninayekuabudu,mwingi wa amani,iponye tanzania.iponye africa mashariki,iponye africa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
waondoe viongozi wenye hila,waliojaa chuki,wivu,chokochoko,wasio na uvumilivu au unyenyekevu,wanaopenda sifa na majivuno,waliokosa subira.Mungu tupe amani,umoja na amani watoto wa mama Africa.
Mungu ilinde Tanzania ambayo tulikubali kuwatanguliza wenzetu na kujiona si kitu.tulikubali kutokuufurahia uhuru wetu hata wenzetu wote wa africa watakapokuwa huru.Tulikubali kuwa masikini ili ndugu zetu wa africa wakombolewe,leo wengine wameota ndevu wanataka kuchoma kichaka kilichowahifadhi wakati wa shida zao.
Mungu usituache watanzania kwa kuchagua kwetu kutenda mema kwa wengine.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki Africa.
 
wivu mbaya jamani, naona wajamaa wameamua kuunda bendi yao ya wenye wivu watatu...
 
Ni lini TISS ilikucharanga mapanga na kukuharibu mdomo na meno yako? Unakaa kuaamini story za mtaani tu. acheni dharau na kejeli kwa vyombo vya dola.

mara nyingi watu kama hawa wanaolala na kuamka kila siku vitambi mbele, hawajui wengine hawalali kwaajili yao na wake zao..
 
Hii yote ni Kagame-phobia,watanzania tujenge nchi tuache malumbano yasiyo na msingi.
 
kaka hivi wewe ni mtanzania kweli au unaongea rwanda ni taifa la jana liezaliwa tunaliona aizoe DRC na siyo Tanzania kwanza tumemtunzia watuwake kule ngara na rukwa kama anataka kufa ajaribu nahisi ndo mwisho wa taifa la rwanda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom