Nivyema ukasubiri hadi mtoto amalize kunyonya kwanza.. Then tafuta dhen tafuta partner aliepora kuliko wa mwanzo coz si vyema kua mama ambae anawatoto watano baba tofauti.. Ni mtazamo tu mdau.
Swali ni jee bado unajiremba kwa mumeo kama mwanzo..? au baada ya kupata mtoto umekua ni mtu wa kushinda na madira na vitenge hadi usiku.. Jaribu kumvutia mumeo anapokua ndani na utaona result zake.. Sisi wanaume huwa tunapenda wake zetu wapendeze mukipendeza hamu ya kuwagegeda hua inakuja...
Mtalaka hatongozwi hukumbushwa tu.. Maana ya msemo huo ni wengi wa wanawake waliozalishwa au wajane hua hawatingozwi na ex wao hukumbushwa tu na wakatoa mchezo bila ya kujali.. So akili kichwan mwako ndugu.
Mmmh hivo vilele ni vya mtunda gani.. Mbona tunadanganyana bhana.. Kilele kimoja tu.. Ukimpiga pini vizuri na akisha kumwaga basi hicho ndo kilele chake. Hayo mengine mnajipa emagination tu.
Kwasababu wengi bado wapo katika ndoto za utoto kwa maana ya kua wanataka waolewe na prince mwenye kila kitu.. Hawajua kwamba maisha ya sikuizi unanza ukiwa na mwenza wako from down..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.