Mchepuko unavyonitesa part 1

Mchepuko unavyonitesa part 1

We utachapiwa mpaka kufa....na utachundwa mpaka ulie....wanaume wenzetu mnatudhalilisha sana...piga chini mbona mademu wako wengi mkuu
 
Malizia kwanza part II, maana nyie hamchelewi kuja kusema: "ndo nkashtuka kumbe nlikuwa naota"!
 
Malizia kwanza part II, maana nyie hamchelewi kuja kusema: "ndo nkashtuka kumbe nlikuwa naota"!

hii sio story ya kutungwa so part two itatokana na hatua ntakayochukua kwenye hichi kipindi kigumu.
 
We utachapiwa mpaka kufa....na utachundwa mpaka ulie....wanaume wenzetu mnatudhalilisha sana...piga chini mbona mademu wako wengi mkuu

to be honest huyu mwanamke ni mzuri sana endapo ungeli muona hata wewe ingekupa shida sana kumuacha.....
 
Rasimisha uhusiano huo.......nenda kwa wazazi wake......tangaza nia......mpigie simu huyo x wake mwambie aache mambo ya kiboya kumzoea huyo manzi.......kama ni mtoto asubiri akitimiza miaka 8 atakuwa na uhuru wa kumuona na kumlea ila kwa sasa huyo X aamue moja kama atamchukua mtoto akamlee mwenyewe au na huyo demu ache mambo ya kifala ya kukuchezea michezo ya kukuchanganya na mwanaume mwenzako bila kuweka msimamo kuwa anataka kuwa na nani kama mume rasmi kupata mtoto na huyo jamaa haimpi haki ama ruhusa ya kuwa kigeugeu ...............kama hawezi kutumia akili zake za kuzaliwa atumie tuh hata makalio........!

thanks for the advise
 
Si amesha kwambia I am sorry unataka nini tena
 
Wewe endelea tuu kujaza UPEPO baiskeli wanapanda wengine!! Halafu unakuwa na wivu kwa mchepuko???
 
Ndugu yangu..hapo huna chako..wanawake wengi hupenda mzazi mwenza kuliko mchepuko..nasikwambie mtu hiyo baba wa mtoto akikujua jua bifu unaloo...tulia na rose..hiyo ndo wife material..kasubiri mda wote huo? Msaidie kujua style ya mapenzi unayofurahia..sio kuchepuka.
 
Mi sioni kama kuna tatizo coz we ushasema shida yako kugegeda tu, na ndio hicho kilichokuweka hapo sasa we ulitegemea X wake atamuacha we enelea tu kupoteza muda wako hapo kisa kamchezo anakajua we unafikiri huyo alozalisha hukifanyiwa unavyofanyiwa ww kalagabao mjomba acha ushamba wa ngono we bila kujituma huyo hiyo pesa yako ungetoa? Mjini hapa!
 
bifu kwani kamuoa....hata pete hajamvisha! kazaa nae tu na hatahatumi pesa za matumizi........nki give up t wont b coz of him maybe coz of my money
 
Mtalaka hatongozwi hukumbushwa tu.. Maana ya msemo huo ni wengi wa wanawake waliozalishwa au wajane hua hawatingozwi na ex wao hukumbushwa tu na wakatoa mchezo bila ya kujali.. So akili kichwan mwako ndugu.
 
Mi sioni kama kuna tatizo coz we ushasema shida yako kugegeda tu, na ndio hicho kilichokuweka hapo sasa we ulitegemea X wake atamuacha we enelea tu kupoteza muda wako hapo kisa kamchezo anakajua we unafikiri huyo alozalisha hukifanyiwa unavyofanyiwa ww kalagabao mjomba acha ushamba wa ngono we bila kujituma huyo hiyo pesa yako ungetoa? Mjini hapa!

alieanzisha jf alikua naakili sana napewa makavu kichwa kinakaa vizuri....sikua na wa kumuhadithia hii story mi sio mtu wa kuji expose myb kichwa kinge explode.........
 
"Yaishe si nliisha kwambia sorry"... Hii Ni kauli ya kukuomba umruhusu akuchune na huku " baba watoto" akila kitumba..

Nimeipenda njia yako uliyoitumia kuzinasa text.
 
Back
Top Bottom