Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni shida

Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni shida

kwangu iko hivi mkuu..
Mimi bana nimekukuta na mtoto unalea pekeako,nimekupenda nikakubeba na mwanao,ukishafika kwangu sitaki tena uniletee habari za baba wa mtoto wala nini,kama anamtaka mwanae mpelekee ww urudi hapa kama wewe na wewe huwezi kuishi bila mwanao nenda usirudi.Sitaki kabisa habari ya kuniambia naenda kumsalimia baba wa mtoto stupid wakati nilikukuta pekeako.

umeongea kama wazee kumi.......bgup
 
Sometimes I wonder mtu mzima na mindevu na watoto kadhaa anaogopa eti kwao watamsema akifanya maamuzi fulani yanayohusu familia yake, daaaaaaaaaaaaaaaaaaa, umewaolea kwenu auuuu??????, are you a boy????????, You can't be them, live your thoughts, stop striving making others happy, You'll never make it Happen, Sometimes we're being judged by the people who can't even collect their shit together. WAKE UP BROTHER, WAKE UP, COMEEEEE OOOOON
 
Nashuru kwa ushaur wandugu coz nilikua nishapanic kwa cku ya leo nimeshindwa fanya kaz nimekunya pombe pia haziingii kabisaaa mawashuru coz narud home but nilikua nahasira nilale niamke salama nijue cha kufanya ila kiukwel unaweza ona mtu anashinda bar analewa ila hapend ushaur wenu umenitia nguvu wandugu
 
utakalo amua wewe ndio sahii mradi tu usiamue ukiwa umefurahi xana au umekasirika
 
Wanawake ni viwanda vya kuzalisha watoto!
Piga chini huyo raia, kwani tiyari una watoto, then oa dogo dogo wa game kama Barcelona vs Realmadrid
 
Kwa jinsi nilivyoelewa Tatizo sio kuoa mwanamke mwenye mtoto bali masikilizano yenu ndani ya nyumba si mazuri kiasi kwamba hamuaminiani. Hilo la mtt ni matokeo na sio sbb ya msingi.
 
Kwa nn nimlee mtoto wakati baba yake yupo hai? Pia naogopa upande wa wazaz wngu na ndugu pia itaibua maneno mazito sana

Wa kwako analelewa na nani wakati wewe ungali hai? Tena siyo 1, wawili wote analelewa. Pia hachana na mambo ya kuendesha familia yako kwa kuongozwa na wanandugu.
 
Sasa hapa swala la mwanamke aliyezaa linaingiaje?! Wewe kama hukuwa unataka mtoto wa nje wa huyo mwanamke wako ambaye by the way uliamua kuendelea kuzini naye si ungemwacha tangu ulipojua hivyo? Wewe ndiyo tatizo kaka, hujui unachotaka.
 
Kama ulimkuta peke yake haishi na mtoto ukaamua kumchukua mkaishi wote mjenge maisha then leo anakuletea hbr za mtt?? kwn ulimkuta anaishi na huyo mtt c ulimkuta peke yake?? piga chini huyo mtu asije akakujazia watu.
 
Wewe una watoto wawili yeye ana mtoto mmoja;
Kwanza ukubali kuwa mapenzi na baba mtoto wake bado yanaendelea.

Mwambie kuwa amlete mwanaye na wewe ulete wakwako na mama zao
ili maisha yaendelee.
 
Yaani kesi zingine hadi mtu unaona uvivu kutoa ushauri.
 
Wewe kumlea huyo mtoto ndo atakutia umasikini sio..usiwe ivo bamdogo.. Mwache mwanamke akae na mtoto wake.
 
Vunja hayo mahusiano mleta mada.
Huko mbeleni kuna timbwili linakuja hutakaa uamini.
 
Hapa ndo utasikia,"mtoto wako na mtoto wangu wamempiga mtoto wetu!" Mbaya sana hali hii.
Fanya maamuzi ya kiume!
 
Mimi ni kijana na 28 years nilikutana na binti nilimpenda sana kumbe alikua na mtoto kazaa na mwanaume mwingine na mimi pia nilikua na mtoto wa nje niliona isiwe sababu nikaamua kuishi nae toka 2013.

Nilimkuta akitumia sindano za uzazi wa mpango nikamsihi aache akaacha mpaka leo hajawah pata mimba ilileta ugomvi mpaka ikafikia kuniambia mtoto niliezaa na mwanamke mwingine nimesingiziwa iliniuma sana ila nilihamia Mbeya kikazi niliamua kumsaliti nikaanza mahusiano na msichana mmoja akabeba mimba akajifungua mtoto wa kike.

Imeendelea nikaamua kumwambia ilikua ni mziki tuliendelea tukaenda hospital akaangaliwa docta akasema mirija ya uzazi imeziba nilitumia gharama kweli amepona ila mimba bado sasa mimi mtoto wangu wa kwanza yupo std 1 hatujawahi ishi nae yupo kwa wazazi wake na wake yupo kwa wazazi wake.

Imeibuka leo anataka kumleta mtoto aishi na mimi wakati mimi sipo tayari jamani imekua ni ugomvi anaforce kumleta, kiukweli mimi sipo tayari, kaniambia bora tuachane kuliko asiishi na mwanae.

Naombeni ushauri jamani nifanyeje maana kwanza nimechoka kabisa ushauri pliz

Pole sana lakini naomba niulize ni kitu gani kinachokufanya usikubali kuishi na huyo mtoto wa mume mwenzio?
nikupe story yangu kwa ufupi,nimeolewa baada ya mwezi naletewa mtoto wa mume ana miezi mitatu yani siku narudi Honeymoon nimeingia saa 12 jioni saa2 usiku naletewa mtoto nilichoambiwa na mzazi wa yule mtoto ni kua Usione raha yakufungua miguu tuu ujue na kulea yule bwana ugomvi ukaanza,nilichofanya nikamwambia mumewangu mchukue mtoto
tutamlea sababu hata nikimkataa bado ni mwanao na tukijaaliwa mtoto huyu atakua dada yao,
nimemlea leo hii nna 5boys na yeye ndio wakike peke yake na she is my princess nampenda ni rafiki yangu na anafanya vizuri shule kuliko hata wanangu,na ananijali ananipenda,sasa kama kweli unampenda mwanamke mtoto sio kikwazo....
 
Akishakuzalia ndo ufikirie kumruhusu amlete mtoto wake, huyo ni wa kumwangalia sana inaonekana hana adabu kwa ile tu kukuambia mtoto wako umesingiziwa huyo mi ningempiga chini
 
Yani nyie wote bado hamjajitambua mlipofanya mapenzi na watu esp ngonozembe mlitegemea mtakuwa responsible na matokeo yake,kwanini muwapeleke watoto kwa akina bibi wakati mngali hai?na maamuzi yenu ndani ya nyumba ndo yatawapa heshima sk zote kama mnategemea second opinion kwamba nikifanya hv nyumbani watasema hv,hamtafika.Cha msingiCHUKUENI WATOTO WENU HUKO MLIKOWATELEKEZA MUWALEE PAMOJA KWA UMOJA bila kujali wa mwanaume mwingine wala mwanamke mwingine..huwezi jua ya mbeleni...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom