Recent content by Dear

  1. D

    Mfumo dume, wimbi la shinikizo la mume kuzikwa nyumbani

    Watetezi wa haki ya binadamu mko wapi? Watetezi wa wanawake mko wapi? Vyombo husika viko wapi? Nawasalimu nyote, Hivi karibuni kumeibuka kama mara mbili hivi kwenye vyombo vya habari vya mitandao, mwanamke akifiwa na mumewe na kama wamechuma mali pamoja au la, au hata kama kuna nyumba imeachwa...
  2. D

    WATOTO TURNS VIJANA WA MTAANI NI JIPUUU

    Habari wana harakati,jamani sijui nani kaliona hili tatizo la watoto wa mtaani ambao sasa wemekuwa wakubwa vijana wa mtaani,ukisimama kwenye mataa ya barabarani wanakuja kufuta kioo ,hata kama gari ni safi unashangaa tu umeshamwagiwa maji ya mapovu pwaaaa :mad::mad::mad:,jamani uwa unatamani...
  3. D

    Natafuta Nyumba ya kupanga Tabata au Kinyerezi

    350,000-500,000
  4. D

    Natafuta Nyumba ya kupanga Tabata au Kinyerezi

    Habari wapendwa,natafuta nyumba yenye nafasi maeneo ya Tabata/ Kinyerezi vyumba 3 au zaidi vyenye ukubwa mzuri na nje nafasi ya kupaki magari matatu au zaidi.Asante
  5. D

    Msaada kwa waliowahi kujenga

    Asante kwa ushauri mzuri sana yaani umenifaa saaana,sasa naona hata soni kuwatajia ya umeme jamaa alinicharge ndefu sana yaani nikawa nakosa amani,lakini sababu mtu ninafahamiana naye,naona hata aibu kumuuliza but naona jamaa kaniibia kabisa sema tu sitaki kujua maana nitaumia roho sana.
  6. D

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Biblia, yaani hapa ni kila kitu hakuna kitu ambacho hakijaandikwa humu,na ukisoma na ukaweka moyoni basi jua kwamba maisha yako yatakuwa nafuu sana kama si mazuri,ukiwa na huzuni kuna kufarijika,kuna kupewa nguvu na afya katika hiki kitabu,hakina udini maana Mungu hakuwa na dini,hivyo kila mtu...
  7. D

    Msaada kwa waliowahi kujenga

    Mimi niko dar es salaam
  8. D

    Msaada kwa waliowahi kujenga

    Ndugu zangu! Mimi ni mara ya kwanza kujenga, na nimefanya vitu vingi tayari kilichobaki kikubwa sasa ni kuweka Gypsum, mbao ameshaweka tayari, na plaster ishapigwa wa umeme kashafanya yake pia. Fundi aliyeweka mbao zile za gypsum ndio huyo huyo atakuja kufunga gypsum, sasa basi mwanzo...
  9. D

    NHC ni chanzo cha foleni Dar es salaam

    Kama wiki hivi imepita niliona kwenye vyombo vya habari,Shirika la Nyumba linampango wake wa kubomoa nyumba za historia za Upanga na Kariakoo ili kujenga maghorofa kwa ajili ya kutoa tatizo la makazi jijini Dar es salaam.Mimi nilijua kuwa huu uongozi mpya uliowekwa na Chiligati ni ungekuja...
  10. D

    Kuchua fomu ya uraisi sherehe???

    Ukitaka kuumiza kichwa na nchi hii basi fuatilia siasa, mimi nashindwa kuelewa kuchukua fomu ya kugombea uraisi ni sherehe na bendi zinakodishwa,na kurudisha pia ni sherehe,jamani ama ndio duniani haya mambo yanakwenda hivi mimi sielewi
  11. D

    Bao moja hoi

    Kwanini unasema kama ya Studio,kuwa ni Fake? hauamini kuwa mtu hawezi kufanya bila Condom? au vipi ndugu
  12. D

    Bao moja hoi

    Kama mdau Lutalo alivyosema yeye akienda bao Moja Hoi,na watu wamemshauri bao moja linatosha kabisa, lakini kuna my friend wangu alinipa kero ya Mpenzi wake ,wakati wanafanya mapenzi anamuhesabia mshkaji kabisa anapush 1,2,3, ya 4 jamaa kashamaliza zamani ajitahidi sana anaenda ya 5 na...
  13. D

    Mume au mke wa mtandaoni

    MMEKUTANA MTANDAONI MDAU THEN MNAOANA, MIMI NAULIZA KUNA MSHIKAJI WANGU KANIOMBA USHAURI SASA MIMI SIKUWA NA MAJIBU SAHIHI NDO MAANA NIKAWAULIZA, lakini ni kweli kama baadhi ya wachangiaji walivyosema ni HATARI sana,
  14. D

    Mume au mke wa mtandaoni

    Jamani naomba ushauri,Je kuna mtu kashawahi kuolewa au kuoa mtu kutoka kwenye mitandao ya marafiki kama Twitter, face book n.k?
  15. D

    Jamani Mke wa Ben Bengi ni nani

    Habari wadau, nauliza hivi juzi kulikuwa na msiba wa mke wa Ben Mengi,sasa ulivyotangazwa kwenye vyombo vya IPP na Raisi wa nchi yetu Kikwete kukatiza shughuli za nchi na kuudhulia je uyu Ben Mengi au Mke wake ni nani katika jamii yetu labda ni mimi tu niko nyumba naomba mnisaidie kwa up-date...
Back
Top Bottom