Ukitaka kuumiza kichwa na nchi hii basi fuatilia siasa,
mimi nashindwa kuelewa kuchukua fomu ya kugombea uraisi ni sherehe na bendi zinakodishwa,na kurudisha pia ni sherehe,jamani ama ndio duniani haya mambo yanakwenda hivi mimi sielewi
Hii ni judgement tosha ya aina ya kiongozi utakayempata!!!