:rolleyez:...:coffee:...:nono:
Kwa msisistizo zaidi! Mkuu umetumia dating servuce ya Kichina nini?
Du kweli tumeingia kwenye TeKnolojia!
Wacha kabisa kuyafanyia utani maisha yako!
:A S-danger:.....:hungry:....ray:......:rip:
naona leo unatoa advice kwa njia ya picha :biggrin1:
.Jamani naomba ushauri,Je kuna mtu kashawahi kuolewa au kuoa mtu kutoka kwenye mitandao ya marafiki kama Twitter, face book n.k?
Elimu kwa njia ya picha inaeleweka kwa urahisi...
Jamani naomba ushauri,Je kuna mtu kashawahi kuolewa au kuoa mtu kutoka kwenye mitandao ya marafiki kama Twitter, face book n.k?
sijaelewa,
mnaoana mtandaoni au mmekutana mtandaoni then mengine yakaendelea baada ya hapo?
Ivi ni dhambi au? maana sioni tofauti ya kufahamiana msibani, shuleni, kwenye dalala au wapi...Duuu nashukuru mungu aliniepusha mbali na hili,wenye hizi exprince msaidieni Dear
Toa sababu kwa nn hushauri!!Kwa Kuoa au Kuolewa mimi sishauri kabisa...Narudia dont TEST that...Sumu haitestiwi kwa KULAMBA.....ila kwa burudani ya fasta ukiwa na uwezo wa kujikinga poa.....Ila sio KWA NDOA
Hii nayo ipo? ndo leo nalijua hili.............kwa nini isiwezekane? umekutana nae mtandaoni, then mnaendelea kujuana nje ya mtandao kwanza, kisha mnaoana ...........hamna tatizo
kuoa mtandaoni bila ya kuonana hata siku moja wala kuwa na mtu wa karibu anaemjua USIJARIBU.
Sasa kwa nini ushukuru wakati hujui kama ni kitu kibaya au kizuri???????????Duuu nashukuru mungu aliniepusha mbali na hili,wenye hizi exprince msaidieni Dear
Swali lako wala halihitaji majadiliano. Jibu ni ndiyo wapo wengi tu. Kwa maelezo zaidi unaweza ku-google.Jamani naomba ushauri,Je kuna mtu kashawahi kuolewa au kuoa mtu kutoka kwenye mitandao ya marafiki kama Twitter, face book n.k?