Natafuta Nyumba ya kupanga Tabata au Kinyerezi

Natafuta Nyumba ya kupanga Tabata au Kinyerezi

Dear

Member
Joined
Nov 18, 2009
Posts
46
Reaction score
3
Habari wapendwa,natafuta nyumba yenye nafasi maeneo ya Tabata/ Kinyerezi vyumba 3 au zaidi vyenye ukubwa mzuri na nje nafasi ya kupaki magari matatu au zaidi.Asante
 
Habari wapendwa,natafuta nyumba yenye nafasi maeneo ya Tabata/ Kinyerezi vyumba 3 au zaidi vyenye ukubwa mzuri na nje nafasi ya kupaki magari matatu au zaidi.Asante

Una uwezo wa kulipa kodi kiasi gani kwa mwezi?
 
Ipo nyumba nzuri karibu na Tusiime segerea vyumba vinne sebule, jiko, dining, vyoo viwili vya ndani, choo cha nje, jiko la ndani na jiko la nje, kisima kirefu kinachotoa maji safi yasio na chumvu muda wote wa mwaka. Parking ya magari matano ipo. Kodi laki sita kwa mwezi.
 
USD 500 per mounth...
Ipo tabata kinyerezi Maeneo ya mbuyuni jinai na shule ya pinepark
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom