Ficha kutokuelewa kwako, Mbowe kafanya nn cha hatari? Kutoutangazia umma alipojua tu?? Kumbuka rahisi alisema ni kina nani wanaopaswa kutia taarifa kwa umma, so familia ya mbowe walichopaswa kufanya ni kutoa taarifa na ushirikiano kwa wahusika wa idara za afya, jambo ambalo walifanya na kufata...
Ficha kutokuelewa (ujinga wako) ubunge ni cheo cha kisiasa,Mbunge ni mwakilishi Wa wananchi mwenye jukumu la kuwasilisha maoni na matakwa ya wananchi wake, lakini DED ni cheo cha kiutendaji kinachostahili uzoefu, DED ndiye boss na msimamizi mkuu Wa kazi zote za halimashauri, kuchagua DED asiye...
ficha uelewa wako mdogo, nani alikudanganya kua athari lazima ionekane mapema hii?? Ni kauli nyingi tu za mheshiwa ambazo zinadhihirisha alitoa bila kufikiri kwa usahihi, ni jambo lillilo wazi kwa yeyote mwenye ufahamu.
Unashangaa kutokuona Tz, je umeona walivyo describe hizo zilizowekwa? Usidhani kutokua na vita kunatosha kuifanya Tz among the peaceful countries, Siasa zetu tu uchwara, utawala Wa sheria ovyo, kila kiongozi anajiamlia tu yatakayompendeza, so tusing'ang'anie kuona tukiwekwa nafasi za juu, Bali...
Embu punguzeni mihemuko ya kivyama kidogo, ndo maana hata nchi yetu kwenda mbele itakua shida sana, watu wanafikiri vyama zaidi kuliko umoja wetu kama Taifa, kila linapotokea jambo tunajaribu kucheki namna gani tutalitumia kumponda mpinzani wetu kisiasa, hii hali imepoteza kabisa maana ya...
Na hiyo haswa ndo sababu uchagani wameendelea na hao wa pwani wapo chini, Dunia ya Leo ni ya kibepari, lazima ujue kutafuta chako na si kutegemea wengine, hata wazungu ni matajiri kutokana na hulka zao za kibepari
May your soul rest in Peace professor, we will miss you so much. Mara zote huwa tuna desturi ya kunena sifa njema kwa marehemu wote hata kama hawastahili.,bt for sure prof Lwambuka anastahili kila aina ya sifa njema, ni wazi kila mwanaCOET aliyepita mikononi mwake atakubaliana na Mimi katika...
Bingo ilikua miaka hiyo si dunia hii ya digitali, Bt na mi ka vile nimefall in love na avator yako, sijui na mi naweza pata bingo japo najua sio your real picture.
Duh! Mkuu unatokea pande zipi??? Yaani siku hizi watoto wa 3 tu ni wengi mno, we wa 5 ndani ya miaka 7 na bado unataka wengine wa 3 ili wafike 8??? Hakika hizo zama zishapitwa na wakati, unamzeesha mkeo bure. Babu zetu walifanya hivyo coz maisha ya kipindi chao yalikua na details chache, ilikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.