ningekua huko ningeenda ila mtaniwakilisha siwez pata ruhusa hukuKesho mwili wake utaagwa udsm SAA tatu asubuhi,na Leo SAA 11 jioni Nyumbani kwake Mbezi Beach.R.I.P Prof
View attachment 319151
Naamka asubuhi nawahi ofisini tayari kulitumikia taifa. Naingia ofisi ya mkuu wa idara na kukutana na hii habari ya masikitiko kuwa Prof. Lwambuka mtaalamu wa Structural Engineering na Mwalimu wangu wa Mwaka wa Kwanza....kafariki dunia.
Pumzika kwa Amani Prof. Lwambuka, sote tunjia moja.
Kusema Tanzania kuna chuo kimoja.hata Mimi nilisoma udsm enzi tunaita Fass class of 2004 siku hizi school of social science lakini siwezi sema Tanzania kuna chuo kimoja huo ni upunguani.mkuu pumba ipi hapo au ndio ukweli mchungu?
Duu mkuu hongera kwa kula chumviTulisoma wote Kigarama Primary School
RIP Prof.
Mara nyingi kipindi huisha pale anapoongea kiswahili"Tukutane next period for more examples on friction"those were last words on friday Engineering mechanics session !
Miaka hiyo akiwa Asst Lecturer wetu FoE.
Dr Lwambuka ni wa ukoo wa Kamuzora wa Kanyigo.
RIP Prof Lwambuka.
poleni, wahaya wamepoteza kichwa jamaniMiaka hiyo akiwa Asst Lecturer wetu FoE.
Dr Lwambuka ni wa ukoo wa Kamuzora wa Kanyigo.
RIP Prof Lwambuka.
RIP Prof Lwambuka
Kuna kamsemo kake kwenye vector "even my mother at bukoba know this"
Since last year ni Prof in Tanzania piaA Prof n German, Dr n Tanzanian!! Pumzika kwa amani mwl
Mkuu, code ni moja tu, SD, unless uwe unarefer kozi nyingine, but mwaka wa kwanza anafundisha SD.mkuu usimbishie sd ilikua kwa watu wa structure eng (civil yote) ila wengne kama mining electrical telecom na coet wengne walikua na code tofaut na sd