ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Habarini wana MMU
Kwanza kabisa kabla sijaandika ambacho nimepanga kuandika naomba nitangulie kwa kunukuu baadhi ya Nukuu hizi
-KUMPENDA MTU SIO DHAMBI
- Gravitation is not responsible for people falling in
love.
Baada ya kunukuu hayo maneno naomba niende kwenye kilichonileta!
Nimekaa nimefikilia na nimeona ni dhambi kubwa kuudanganya moyo kwa kile nacho kipenda kwa kukaa bila kufikisha hisia zangu kwa yule ninaye Mpenda!
Kuliko kukaa na kuendelea kuumia nimeona niseme wazi hapa jamvini nawote mjue na mnisaidie Ya kuwa AM IN LOVE WITH @Lara1 kwa lugha nyepesi ni kuwa ninampenda kimapenzi @Lara1 na ningependa kuwa naye katika Maisha yangu yote hadi kufa!
Niwe muwazi tuu kwenu ya kuwa mtajwa hapo juu simfahamu nikimaanisha sifahamu
-jina lake kamili anaitwa nani
-sifahamu sura yake kifupi sijawahi muona
-Sifahamu anapoishi wala kazi yake zaidi ya ile alio tuambia kuwa anauza wake za watu na sasa ameecha
Kifupi sifahamu chochote kuhusu Lara 1 zaidi ya kujua tu kuwa alikuwa anauza wake za watu na ni mtu wa story hapa JF
Samahani kama nitakuwa nakosea Lara 1 kama unasoma hili lakini sina nia mbaya na wewe ni hisia zangu kwako zilizo nifanya niyaseme haya hapa! Jamani + Lara 1 tambueni ya kuwa Mapenzi ni upofu wazungu husema Love is blind!
Najua mtaniuliza mengi hata Lara 1 naye atanichamba kwa kusema naweza penda mtu nisie mfahamu lakini niwaambie kitu kimoja siku zote REAL LOVE huanzia kwenye kutamani i mean mzizi mkuu wa Real Love kwa mpenzi wako ni Ulianza kwa kumtamani hivyo ndivyo ilivyotekea kwangu kwa Lara 1 mara baada ya kufuatilia comment zake na story zake hapa Jamvini nikajikuta nimefikia kwenye kutamani kuwa naye hadi sasa ndo kumpenda kabisa!
Kwa mara ya Kwanza nilikuwa nashindwa kujua kama Lara1 ni wa kike au wa kiume lakini nilipo fuatilia katika comment na story zake nikajua ya kuwa Lara 1 ni wa kike na kujikuta nikimpenda sana! (Samahani Lara 1 kama nimekukosea)
Napenda kukwambia Lara 1 kuwa nimekuwa fluctuated with you na ningependa kuwa nawe kama nafasi ipo lakini kama haipo nitashukuru Mungu pia
Sijawahi mfuata PM Lara hata Mara moja ( yeye atakuwa shahidi) baada ya kuona ile Thread ya yule dada anae sema amechoka na PM za wanaume nilivunjika moyo, Ila nimeamua kusema hapa ili nawenzangu mnisaidie katika hili
Siwezi kusema wa kuandika vyote ambavyo moyo wangu ungependa kumwambia Lara pamoja na nyinyi Lakini kumwambia kuwa nampenda inatosha
Mimi ni mkulima wa kawaida kabisa Wa alizeti,nyanya,karanga,mahindi na vitu kama hivyo sija ajiriwa!
Napenda kutangaza hio nia na kuomba msaada wenu na msaada Toka kwa Lara 1 hata Msaada wa kiushauri utanitosha!
Kukubaliwa au kuto kukubaliwa ni matokeo Jamni na nipo teyari ila ningependa mniunge Mkono na Lara 1 naye mzungumza ni huyu huyu member wa humu JF unae mfahamu!