Yaani anashushwa na magari halafu anakuambia akikufumania atajiua!!!Kaka hapo wewe unashida pia,straight mwambie tabia zake hazikuridhishi na kama haachi bora muachane magonjwa mengi siku hizi,halafu nadhani yeye hajafika kwako ila wewe ndio umefika,ni ngumu sana mwanamke akuonyeshe vituko live...
Lacoste Live by Lacoste by Lacoste 170000/= ila kuna nyingine nzuri tu Kama 212 For Men by Carolina Herrera,Hugo red by Hugo boss hii nayo ni nzuri,au kama uko na hela nyingi tafuta product za Torm Ford au Giorgio Armani especially Emporio Armani au Aqua Di Gio ni nzuri na nilishazitumia pia.
Lutheran ilikuwa enzi za akina askofu Kolowa,Mshemba,Sendoro,Mshana etc,upuuzi huu sidhani kama ungetokea,wale wazee walikuwa makini na hawayumbishwi kijinga.
Hapa ndipo mtu unapoanza kukata tamaa na kanisa hili ambalo limenikuza tokea mdogo hadi leo na mimi ni mtu mzima,kanisa halipaswi kutumika kisiasa namna hii na sidhani kama makonda ni mlutheri!!Yule mchungaji alinibore sana jana kwa kweli,anadanganywa na mifuko ya cement!Mbona kila mara watu...
Hongera mkuu,mungu huwa hamtupi amuombae na mwenye nia ya ukweli,endelea hivyo hivyo huku ukimkataa shetani kwa nguvu zako zote na baraka za mungu utaziona kwa wingi.
Tatizo kabla ya ndoa watu wanapoenda kwenye mafundisho ya ndoa huwa hawasikilizi kwa umakini au kuelewa,watoto kwa jinsi ninavyoamini na tulivyofundishwa wakati wa maandalizi ya ndoa ni zawadi kutoka kwa mungu,na mtoto ni mtoto tu awe wa kike au wa kiume,unachopaswa ni kumshukuru mungu kwa...
Angalia vizuri motive ya huyo jamaa kabla hujaenda,maana unasema ana watoto watatu na kila mtoto na mama yake,sasa hao akina mama wengine wako wapi?Na kwanini alilipa mahari na akakubali kuachana na wewe?Je kiafya sasa hivi yuko sawa?
Dah,na unaandika post kama hii kuomba ushauri!Humuogopi mungu?Unawezaje kumsaliti mumeo kisa kafukuzwa kazi,na kwanini wakati ana kazi hukumuomba akufungulie miradi?Mi naona hiyo ni tabia yako hizo ni excuses tu ili uhalalishe uzinifu wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.