Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,020
- 168,014
Juzi nilikua hospitali.. Katika pitapita huku nakule kwa shida zangu hapo nilishangazwa sana na reaction ya mwanaume mmoja ambae mke wake amezaa mtoto mwingine wa kiume yani nilishangaa sio kidogo
Kuna baadhi ya wanaume ambao hutukana kunyanyasa au kupiga kabisa wake zao. Na wengine hudiriki kwenda nje kutafuta watoto wa jinsia fulani kisa tu mkewe amezaa jinsia moja tu ya watoto. hili ni kosa kubwa sana ewe mwanaume kaa utambue. You are the determinant factor ya jinsia ya mtoto na si mwanamke.
Waliosoma biology mtusaidie MUNGU anawaona,..ni kweli anayeweza sababisha mtoto wa kike au kiume ni mume maana yeye ni XY ila sisi ni XX..ila wanadai katik a izo tarehe eti kuna siku joto la mwanamke ikiwa sijui high au low ni rahisi kuua nguvu ya mbegu X ili Y ipate nguvu apatimane wakiume, vivohivo joto yaweza ua kwa haraka mbegu Y ili mtoto wa kike apatikane.
Pia wanasema hata nguvu za mbegu X na Y( za mume) zaeza sababisha mkeo akazaa Ke tupu au me tupu
Sasa nawashangaa wababa wanaopigaga wake zao kwa nini umenizalia mtoto wakike tu au kiume tu wakati wewe ndo ujiulize kwanini uliruhusu X itoke ikimbie speed, wewe ndo una udhaifu wa mbegu fulani. Yani moja kwa moja utajua kabisa huyu mume si kichwa bali ni mkia.. tena mkia wa mwanamke .
Kwa wanaofahamu zaidi haya masuala naomba mtupe elimu zaidi na tukapate jifunza zaidi.
Pia kama kuna vyakula vinavyosaidia kuongeza nguvu ya mbegu fulani naomba mtusaidie kutaja
Nakama kuna mazingira fulani yanaeza pelekea kupata jinsia fulani pia nivema mkatuelekeza.
Men,, just give us a break. vitu vingine mnasababisha wenyeweeeeeeeeeeeee heeeeeeeee!!!!!!