Mkuu wa Mkoa wetu anahitaji Mshauri Nasaha. Anatembea haoni pa kushika, anapapasa usiku wa giza nene

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
3,716
2,000
Hivi karibuni nmekuwa nikifuatilia kwa makini sana hali ya Mkuu wa Mkoa wetu. Nikiangalia videos na picha mbalimbali akiwa misikitini,makanisani na sehemu nyingine za nyumba za ibada akiombewa kwa kila imani aijuayo.

Hii ni ishara ambayo kitaalam inaitwa desperate condition au stressful. Ana msongo wa mawazo mkubwa sana. Anajaribu kushika kila sehemu ni kama mtu ambaye anazama baharini halafu akaona jani la mwembe anaweza shika akidhani linaweza msaidia asizame.

Watanzania ni wakati wa kumsamehe ndugu huyu kwa kuwa inawezekana kabisa amekuwa akikosa mwongozo mwema katika shughuli zake na siku zote kujikuta akitumika vibaya. Na wanaomtumia katika shughuli zao za kisiasa hufikia hatua wakajikuta inabidi wabaki nyuma ya pazia.

Kama binadamu anakosea. La muhimu kwake ni kujifunza. Hali aliyo nayo si rahisi kama tunavyomuona. Hana amani hata kidogo. Jamii inapokutenga pesa si suluhisho au nguvu. Ni kuirudia jamii husika na kutengeneza nayo. Na unapokumbuka kuwa hata waliokuzunguka sasa ni kwa vile wanajua una nguvu ya dola ila si kwa mapenz ya dhat hili ni tatizo kubwa sana kisaikolojia.

Ni wakati wa kumsaheme na kuelewa kuwa naye ni binadamu kama binadamu wengine. Hivyo anakosea kama binadam mwingine yeyote.
 
ngalakeri

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
1,301
2,000
Mbona rahisi sana, msamaha wake uko miguuni mwake, ameshaelezwa sana hatua muafaka za kuchukua tena kwa busara kubwa. Kulia haitasaidia kitu wakati wengine wameshachukuliwa hatua.

Kuna watetezi wake wanaomdanganya kuwa cheo chake hakihusiki na mambo ya vyeti, hakika namuonea huruma kama nae atajaribu kuwa na hizo fikra, hiyo itakuwa grave mistake and political suicide.
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,625
2,000
Hivi karibuni nmekuwa nikifuatilia kwa makini sana hali ya Mkuu wa Mkoa wetu. Nikiangalia videos na picha mbalimbali akiwa misikitini,makanisani na sehemu nyingine za nyumba za ibada akiombewa kwa kila imani aijuayo.

Hii ni ishara ambayo kitaalam inaitwa desperate condition au stressful. Ana msongo wa mawazo mkubwa sana. Anajaribu kushika kila sehemu ni kama mtu ambaye anazama baharini halafu akaona jani la mwembe anaweza shika akidhani linaweza msaidia asizame.

Watanzania ni wakati wa kumsamehe ndugu huyu kwa kuwa inawezekana kabisa amekuwa akikosa mwongozo mwema katika shughuli zake na siku zote kujikuta akitumika vibaya. Na wanaomtumia katika shughuli zao za kisiasa hufikia hatua wakajikuta inabidi wabaki nyuma ya pazia.

Kama binadamu anakosea. La muhimu kwake ni kujifunza. Hali aliyo nayo si rahisi kama tunavyomuona. Hana amani hata kidogo. Jamii inapokutenga pesa si suluhisho au nguvu. Ni kuirudia jamii husika na kutengeneza nayo. Na unapokumbuka kuwa hata waliokuzunguka sasa ni kwa vile wanajua una nguvu ya dola ila si kwa mapenz ya dhat hili ni tatizo kubwa sana kisaikolojia.

Ni wakati wa kumsaheme na kuelewa kuwa naye ni binadamu kama binadamu wengine. Hivyo anakosea kama binadam mwingine yeyote.
Alisema anaweza kumfukuza mtu yoyote Dar - tena mtu huyo ataondoka na ndala tu. Karma hua haimwachi mtu, ipo siku ataiona Dar yamoto - atarudi Komomije pekupeku. Let's bet!!Nilimuona jana akilia sana sana, nilimionea huruma tu - hana raha, hana amani, same hata kwa mkewe na wazazi pia, anaongea kwa hofu. Karma haiangalii sura, cheo wala elimu.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
17,795
2,000
I mean angeweka vyeti mezani.
Ungeiedit tu post yako mkuu.
Kama unatumia app;
Iguse post yako kama unavyotaka kumquote mtu, juu vitatokea vidoti vitatu.
Gusa hivyo vidoti, chagua 'moderate' hapo unatatua tatizo.

Kwenye pc;
Ifuate post yako chini utaona imekupa option ya kuedit.
 
kidamva

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
2,584
2,000
Hivi karibuni nmekuwa nikifuatilia kwa makini sana hali ya Mkuu wa Mkoa wetu. Nikiangalia videos na picha mbalimbali akiwa misikitini,makanisani na sehemu nyingine za nyumba za ibada akiombewa kwa kila imani aijuayo.

Hii ni ishara ambayo kitaalam inaitwa desperate condition au stressful. Ana msongo wa mawazo mkubwa sana. Anajaribu kushika kila sehemu ni kama mtu ambaye anazama baharini halafu akaona jani la mwembe anaweza shika akidhani linaweza msaidia asizame.

Watanzania ni wakati wa kumsamehe ndugu huyu kwa kuwa inawezekana kabisa amekuwa akikosa mwongozo mwema katika shughuli zake na siku zote kujikuta akitumika vibaya. Na wanaomtumia katika shughuli zao za kisiasa hufikia hatua wakajikuta inabidi wabaki nyuma ya pazia.

Kama binadamu anakosea. La muhimu kwake ni kujifunza. Hali aliyo nayo si rahisi kama tunavyomuona. Hana amani hata kidogo. Jamii inapokutenga pesa si suluhisho au nguvu. Ni kuirudia jamii husika na kutengeneza nayo. Na unapokumbuka kuwa hata waliokuzunguka sasa ni kwa vile wanajua una nguvu ya dola ila si kwa mapenz ya dhat hili ni tatizo kubwa sana kisaikolojia.

Ni wakati wa kumsaheme na kuelewa kuwa naye ni binadamu kama binadamu wengine. Hivyo anakosea kama binadam mwingine yeyote.
Alianzisha vita asiyoiweza
 
Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,442
2,000
Political ambition yake is likely over, kwa CV yake atakuwa mzigo kwa serikali yoyote kumpa cheo kikubwa zaidi!
Na hata cheo hiki alichonacho anaidrag serikali nzima ionekane ina double standard kwenye suala la vyeti!
Naamini kabisa hili jambo la madawa hakulirukia tu lazima aliambiwa awe mwanzilishi, nani aliyemwambia hapa ndipo tutumie akili...Inawezekana kabisa draglords walikuwa na details zake na walisha nusa kuwa kuna mkakati kamambe waku deal na biashara yao then ili kupata distorter mzuri wakamrushia ndoana akanasa bila kujua.

Tatizo langu ni kuona hao wamefanikiwa ku distort na wamefanikiwa jambo hilo kuwa dealt kwa siri ili waweze kuendelea na incentives zao kwa wahusika na hao wahusika hawawezi kuwa salama kama mambo yenyewe yanafanywa kimya kimya huku unao deal nao wanauwezo wa kuku locate isolate na ku deal na wewe independently hadi kuiparaganyisha nguvu ya umma...Watanzania tumeingizwa chaka tena chaka la mwituni kwenye kobra na swira wakali...

Kama kuna mtu serious kwenye vita hii tupeleke bungeni mswada wa sheria kwamba watuhumiwa watajwe hadharani na kama siyo mahakama itawasafisha kwakua swala hili ni nyeti na lina maliza nguvu kazi ya nchi...Da wauza ngada nyie tambeni tu mimi ntakuja kivyangu vyangu...
 
ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,400
2,000
Ila taasisi zetu zipo slow sana kwa viongozi kuchunguzwa. Hivi kweli tupo sirious au tunawaadaa wananchi tu? nini sababu ya NECTA kutoa taarifa kwa wananchi wawafichue wanaotumia vyeti feki?

Kweli sina imani serikali yetu tena.
 
manyangamc

Member
Feb 19, 2017
25
45
Kuna watumishi wengi hawapo kazini sasa, sababu ya vyeti, ama walitumia vya ndg zao ama walidanganya kwa namna yeyote, sasa mbn wao sheria imewaona?? Huyu Bashite je??? Waziri anapaswa kuliona hili!!!!!!!!!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom