Recent content by daz capital

  1. D

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    naomba kujua jinsi ya kubadili namba ya simu ninayotumia kwenye nmb mobile na kuweka namba nyingine tofauti na ya awali ninayotumia
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CCM imepasuka, inasubiri ipasuke zaidi tu

    duh!! muda utaamua
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hawalizishwi?

    muda mwingine na wao hawajajianda kuridhika,mwanzo mwisho anamuachia mwanaume ashughulike,,ss ataridhikaje hapo?
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2015 Hakuna upinzani wa kweli bila tume huru Tanzania

    kura hazina impact yeyote kwa sasa.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Simba wako kwenye mavuno

    timu mbovu simba? ushabiki mbaya sana ,ukiujua mpira huwezi ongea kauli za namna hii
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kupigwa kwa Mwandishi wa Habari: Naweza kuwatetea Polisi

    police wa tz imekuwa too much
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Mwita Waitara ni kufuru, matumizi mabaya ya kodi zetu

    na unakuta wanapita kwa mara nyingine tena
  8. D

    JamiiForums Tanzania Manyara: Wanachama 139 wa CHADEMA watimkia CCM

    Write your reply...taarifa hizi zinachosha sasa dah
  9. D

    JamiiForums Tanzania Manyara: Wanachama 139 wa CHADEMA watimkia CCM

    Write your reply...taarifa hizi zinachosha sasa dah
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana tigo kwa huduma zenu nzuri

    bora tigo kuliko vodacom,voda mtu unakuwa hewani halafu mtu anakuambia namba yako haipatikani.na hawachukui hatua yeyote in short voda wamebweteka sana,wengi tunaendelea kuwahama taratibu sababu hawaboreshi huduma zao ili ziwe bora.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Asante Wenger umekumbuka kutuachia Aubameyang na Mkhitaryan

    watuletee na kocha mzuri tu na c arteta wao hyo
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nimekamatika!!!

    kama angekupenda angekuckiliza kwa kila kitu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe aiagiza BMT ya Tenga kuzuia ubinafsishaji wa klabu za wanachama

    bongo kila kitu siasa ndio maana hatuwezi songa mbele,dunia nzima kwa sasa mpira unahitaji pesa ya kutosha ili uweze kufanikiwa,sasa kama serikali haitaki club zibinafsishwe wawe wanatoa pesa wao ili club ziweze kujiendesha
  14. D

    JamiiForums Tanzania (yanga yamnyaka mganga wa lipuli!

    mambo ya ushirikina na Mpira wapi na wapi jaman
Back
Top Bottom