escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,472
- 2,867
- Thread starter
- #21
huko aliko atakua anatukana tuHabari mbaya sana kwa Haji Manara
huko aliko atakua anatukana tuHabari mbaya sana kwa Haji Manara
Hivi Mwakyembe ashafunua mioyo yetu na kuona jinsi ilivyovunjika kwa aina ya uendeshaji wa hizi timu?? juzi tu hapa wachezaji wa timu pendwa wamegoma ila ye anaona sawa tu.
Hili tusahau ndugu yangu, kwanza ukae ukijua serikali haipendi simba na yanga ziendelee, hiv ushajiuliza hizo timu Zikiwa na viwanja vyao, watapata wapi mapato na uwanja wao taifa si utadoda.
Hawataki MO apewe timu wanahofia yasiye yakaja ya Katumbi.
Na hii ndo inatufanya tusiendelee katika michezo, kipindi cha nyuma mauritius na cape verde tulikuwa tunajipigia lakini sa hivi hatuwawezi hata kidogo.hii ndyo afrika mkuu
wanasiasa wana hofu na matumbo yao kuliko wananchi wao
Acha kuweka chumvi mkuu alichosema sheria iko wazi mwekezaji asilimia 49 wanachama 51
Hakuna habari ya kuzuia hapo
Hivi ushawai kuiona wapi kitu kama hii duniani, mwekezaji asiwe na sauti na kawekeza fedha Zake.Acha kuweka chumvi mkuu alichosema sheria iko wazi mwekezaji asilimia 49 wanachama 51
Hakuna habari ya kuzuia hapo
hayo ni maneno yake yeye mwenyewe, hakuna aliyeongeza chumvi hapo.Acha kuweka chumvi mkuu alichosema sheria iko wazi mwekezaji asilimia 49 wanachama 51
Hakuna habari ya kuzuia hapo
Weka hiyo sheria hapa tuione.Acha kuweka chumvi mkuu alichosema sheria iko wazi mwekezaji asilimia 49 wanachama 51
Hakuna habari ya kuzuia hapo
Ukweli ni kwamba atakuwa nayo kwa kuwa wanachama wetu wengi hawana uwezo wa kununua hisa kama akichukua 49 na wanachama uwezo wao ni kununua asilimia 10 tu za hisa hizo nyingine zitawekwa pembeni ziendelelee kuuzwa polepoleMo! anaweka mezani billion 20 still mnatka mmpe 49% yaan final say hana! kimbembe nyie walala hoi mtakapoambiwa mtoe zaidi ya izo billion 20 za uwekezaji ...hpo ndyo mtakapoanza kutafutana
Imesainiwa juzi na mwakiembe mwenyewe we unaishi dunia gani hujamsikiliza katibu mkuu wa BMT ndugu kiganjaWeka hiyo sheria hapa tuione.
.Ukweli ni kwamba atakuwa nayo kwa kuwa wanachama wetu wengi hawana uwezo wa kununua hisa kama akichukua 49 na wanachama uwezo wao ni kununua asilimia 10 tu za hisa hizo nyingine zitawekwa pembeni ziendelelee kuuzwa polepole
Asilimia 49 ni sawa na bilioni 20 na asilimia 51 bilioni 25 wengi wa wanachama wa simba uwezo wa. Kununua hisa hawana so utaona asilimia 40 yote itawekwa pembeni kuuzwa kwa wenye pesa zao hiyo ndio maana ya hisa huna pesa huwezi kununua hisa
Imesainiwa juzi na mwakiembe mwenyewe we unaishi dunia gani hujamsikiliza katibu mkuu wa BMT ndugu kiganja
Wacha maneno weka sheria.Imesainiwa juzi na mwakiembe mwenyewe we unaishi dunia gani hujamsikiliza katibu mkuu wa BMT ndugu kiganja