Recent content by dawacom

  1. dawacom

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ulaya jinsi yalivyo pasua kichwa

    Ujumbe umefika
  2. dawacom

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ya Profesa Assad enzi hizo akijiita MJ Assad kule business school UDSM

    Yule Prof wa Buguruni nae vipi kwenye uwanja wa mafundisho?
  3. dawacom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Is there any East African tv channel in the Eutel satellites?
  4. dawacom

    JamiiForums Tanzania Nauza HP Pavillion Note Book

    Achia bei ya pc mkuu
  5. dawacom

    JamiiForums Tanzania Kutokwa uchafu mzito kama maziwa wakati wa tendo la ndoa.

    Je mtoko huo una harufu mbaya?
  6. dawacom

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    China waislam wapo japo ni kwa idad ndogo, na wakristo pia wapo. Kwa hiyo China sio sehem sahihi ya kupigia mfano
  7. dawacom

    JamiiForums Tanzania Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Hawakupata au wanajizuia wasipate?
  8. dawacom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    [emoji86] [emoji86]
  9. dawacom

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwamba sayansi haina majibu ya mambo haya?

    Nafikiri sayansi inayo majibu ila wanasayansi bado hawajayapata.
  10. dawacom

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya wasomi wa kibongo English ni tatizo?

    Usawa haupo mkuu, kizaramo hakikuwahi kuwa lugha ya kufundishia
  11. dawacom

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya wasomi wa kibongo English ni tatizo?

    Mkulu nae ni zao la mfumo mbovu wa elimu yetu kwa hiyo hawezi kusalimika.
  12. dawacom

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya wasomi wa kibongo English ni tatizo?

    Ni wasomi wa ngazi ya chuo kikuu, miongoni mwao wamo wale ma TO(Tanzania One). Kukariri nafikiri hakumzuilii mtu kufaham lugha
  13. dawacom

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya wasomi wa kibongo English ni tatizo?

    Katiba yetu inasemaje kuhusu lugha za taifa? Kama kimakonde kingeliorodheshwa na kufundishwa kisha wasomi wakiwa wana babaisha baisha kwenye lugha hiyo, basi ningeliuliza swali kama hili pia
  14. dawacom

    JamiiForums Tanzania Nilipokua Hospital nilikutana na mtihani mzito

    Umejua kucomment, asante!
  15. dawacom

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya wasomi wa kibongo English ni tatizo?

    Kweli mkuu, yaani tupo tupo tu hata hatueleweki.
Back
Top Bottom