GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,099
Hakika alikuwa mtu wa mazoezi sana ya kukimbia asubuhi hasa ule mlima wa Engineering college kuelekea Computing centre
Alikuwa anaongea Kiingereza cha Marekani sana akifundisha na njiani, Sikuwahi kumuona akiongea Kiswahili kabisa, MJ ASSAD aliigeuza accounting kuwa kama kumfundisha mtoto kuhesabu moja mpaka tano, Wengi walifurahi kukaa darasa la ASSAD
Alitumia Technology kubwa sana kufundisha hasa kwenye ku link transactions, Hakika ilikuwa ni furaha sana ingawa sikupenda accounting lakini alitufanye tupende accounting
Enzi hizo akiwa anajifunza kufundisha akisimamiwa na Sister wa kikatoliki akiitwa sr Bastista alikuwa anatetemeka sana Profesa ASSAD darasani
Niliporudi tena shule miaka ya 2000 mwanzoni hakika alikuwa anafundisha sana sana
Assad katika ishu ya udhibiti yupo vizuri sana sana
Mimi sio mhasibu au Auditor lakini hakika hakuna mtu aliyemfikia pale udsm kwa kutumia technology kufundisha ni mtu wa practical sana
Kila jioni hasa vile vipindi vya usiku ikifika muda wa swala aliacha kufundisha na kwenda pembeni ya Theatre kufanya swala kwanza na kurudi kufundisha tena
Alikuwa anatembelea magari kulingana na hali ya hewa alikuwa na magari ya mvua na Jua wengi tunalikumbuka lile Benzi lake unique enzi hizo udsm
Mimi binafsi kwa jinsi alivyokuwa vizuri na akitoa changamoto sana sikutegemea angekuwa CAG kwani angewaumbua sana viongozi kwenye masuala ya udhibiti wa fedha
Kuna mambo mengi wengine muendelee kuchangia nawatakia Jumamosi njema