Recent content by davie123

  1. davie123

    Naomba msaada jinsi kuhairisha chuo

    Hapo haina haja hata ya kuandika barua kokote kwa kuwa bado haujajisajiri. Mimi mwaka jana niliomba chuo kupitia TCU na sikuripoti kwa sababu zangu binafsi na mwaka huu nimeomba chuo kupitia mfumo huo huo na nimechaguliwa na admission letter nimepata. Kikubwa usiwe umesajiriwa.
  2. davie123

    Kwa nini wanaosoma sayansi wanapewa upendeleo kwenye kuchagua kozi?

    Haiwezekanani labda ukasome course Za tiba mbadala kama wanaojiita madaktari kina JJ MWAKA ingawa hawakusoma pcb wala medicine
  3. davie123

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Kissing is more dangerous than sucking v@g!|\/@
  4. davie123

    Kuendeleza mali za baba, kikwazo ni msimamizi wa mirathi

    Wana JF habari za majukumu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, Kwa mara ya kwanza naweka uzi huu humu jamvini! Miaka 17 iliyopita baba yangu alifariki na kutuacha mimi na mdogo wangu wa kike ambaye tunachangia baba ingawa mama wa mdogo wangu ni mama yangu pia kwani alinilea kwa upendo na...
  5. davie123

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    msingi wa engineering ni muhimu computer science hawafundishi misingi ya uhandisi hivyo ni bora aanzie from scratch hapo ardhi akae darasani miaka 5
  6. davie123

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kama ulisoma computer engineering dipkoma yake ni miaka 3 unaweza kuapply MUST kuna course ya architecture ambayo utasoma miaka 4 ila kama utataka kusoma Ardhi ni miaka 5
  7. davie123

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    ukawa :screwy::):)
  8. davie123

    Natafuta mchumba

    Humu umepotea James
  9. davie123

    Hivi walimu ni wajinga au wapumbavu?

    ukweli unauma me napita tu.
  10. davie123

    Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    Azam channel 350
Back
Top Bottom