Recent content by davidlugiko

  1. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Mbarali: Wafugaji wawashambulia na kuwaua askari wa TANAPA

    Kupitia chanzo gani hii yako mkuu
  2. davidlugiko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasukuma acheni ulimbukeni kwenye mapenzi

    Hapo umewazungumzia mabwege sio wasukuma
  3. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi shirika la masoko kariakoo

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Masoko Kariakoo (KARIAKOO MARKETS CORPORATION) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi 4 kama inavyoonekana katika tangazo hili. 1.0 MENEJA WA FEDHA 1.1MAJUKUMU...
  4. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

    Kama unadhalilisha taaluma za watu vile Eti kufaulu kusababishe asipewe misheni nyingine, so alisomea ukuu wa mkoa!!????
  5. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Narudia tena: Magufuli si wa kuchezea

    Acha kukufuru wewe(Mungu gani unamzungumzia) Hajawahi hata kufanana na chaguo la Mungu
  6. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Jinsi Makonda alivyozishinda vita ambavyo hakuna aliyewahi kushinda

    Eti "RC wetu kipenzi cha wengi" Mtoa mada umepuyanga hapo
  7. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Halotel mnatuibia wateja wenu

    umebakiwa na mb 5 then haipiti hata dak 1 unaambiwa umemaliza mb za kutumia
  8. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Halotel mnatuibia wateja wenu

    Aseeh me nlizan matumiz yangu yamekuwa makubwa, lakini kila nikijaribu kupunguza hata masaa 24 cjafanikiwa kufikisha
  9. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania ‪Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akamatwa na Polisi kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano‬

    Ndo njia pekee inayoaminika kuuvunja upinzani,
  10. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumwona mwanajeshi!Police Zeruzeru (Albino)

    Sio ubaguzi ila mazingira ya mafunzo katika majeshi sio rafiki kwa walemavu wa ngozi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Kilichokufanya uuchukie na kuuona n wimbo mbaya ni ukweli uliozungumziwa UMEKUUMA Sent using Jamii Forums mobile app
  12. davidlugiko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

    Ili kuepuka hilo acha kuchepuka Sent using Jamii Forums mobile app
  13. davidlugiko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kweli

    Angalia huko mtaani kwenu Huku tutakudanganya tu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Mhenga nimehitimu PhD in Media Studies, mwenye connection ya ajira tafadhali

    Jaribu kupitia hapa 4 JOB VACANCIES AT AFRICA WILDLIFE FOUNDATION TANZANIA | KIRAMI NEWS Wildlife foundation wanahitaji mtu wa media Sent using Jamii Forums mobile app
  15. davidlugiko

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    mmmh Sent from my itel it1355 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom