Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Yah na kweli kabisa
Yah na kweli kabisa
nipe mimi basi ah ah ah
Nimekueleza black and white, kama huniamini basi tafuta mtu yoyote aliyewahi kuishi au kusoma huko umuulize...Acha hizo mkuu!!
Mi kuna mngese mmoja alinifanyia hivyo, nikitongozwa au kurefresh na marafiki some where unamkuta ye katangulia eneo la tukio!![]()
![]()
..
Nilivyogundua stimu zilikata hapo hapo, na mapenzi mi na yy yakafilia mbali!
Yaan ni moja ya tabia chafu sana mpenzi wako akiwa hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
True mkuu wanararuliwa na wanaija!Nimekueleza black and white, kama huniamini basi tafuta mtu yoyote aliyewahi kuishi au kusoma huko umuulize...
Bwana mdogo tumeshuhudia wake za watu wakiwekwa ndani kinyumba huko, tena asilimia kubwa na njemba za West Africa...
Bora umekuwepo kushuhudia labda ataanza kuamini huyu bwana...
mkuu unaomba kudukuliwa?uko mkoa gani ili tubadilishane na hii yangu tecno wereva udukuzi uishe.....mie hata akinidukua itakuwa kazi bure tu.
Hii ndio changamoto ya mahusiano ya leo.Kila biandamu anadeserve privacy. Mahusiano ya aina yeyote ile hayatakiwi kuingilia uhuru wako kama binadamu.