Recent content by daviddaniel

  1. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Upokelewaji wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Jijini Dar es Saalam

    Slaa kakikuta chama imara, sio kwamba kakiasisi au kukijenga
  2. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Upokelewaji wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Jijini Dar es Saalam

    Aibu yako, Mashinji ni jembe!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mbowe yanaididimiza CHADEMA

    Mfia chama nani? Dr cassava alikatwa km Edo akakimbilia cdm. Wafia chama wapo ila sio dr mihogo!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Siamini Kama R. Mengi ana zaidi ya 500 Million USD!

    Kwa taarifa yako mengi anamiliki bonite bottlers na madini, Aziz Ana miliki migodi ya madini na tenda kadhaa za ujenzi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    Kabla magufuli hajachaguliwa alikuwa wapi??
  6. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom : MB 1 ...?? Aisee sina budi kuwatoroka.

    Mie Nishajitoa kitambo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mkemia ni nani hasa?

    Pia kuna wakemia tiba. Hawa wanasoma ktk vyuo vya afya wanasoma clinical chemistry!
  8. D

    JamiiForums Tanzania tandabui institute of health sciences and technology

    Kipo mwanza, kozi za wateknologia wasaidizi maabara na maafisa tabibu!
  9. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    tusio na vyama tumehesabiwa wapi???
  10. D

    JamiiForums Tanzania Najuta( mawazo yako ni muhimu)

    kaka yaoge make ushyavulia nguo
  11. D

    JamiiForums Tanzania SHIVJI: Serikali tatu ni kuvunja muungano

    jamani tunataka serikari yetu iliyozikwa 1964 april 26. Tanganyika
Back
Top Bottom