Nilichogundua: hii stori ni yakutunga, ulitaka tu kujisifia kama umemaliza elimu ya chuo, unajitegemea kwa sasa na unamiliki gari. Masikini akipata...
kaka yaoge make ushyavulia nguomimi ni kijana nimemaliza chuo 2011,nimeamua kutoka nyumban na kwenda kupanga mitaa ya ubungo,na kwa sasa nina kazi nzuri tu nilishawahi kuwa na mpenzi lakini tuliachana,hapo nilipoamia nikakutana na bint mmoja mzuri anaitwa manka alikuwa anaishi na dada yake,kwa kwel alikuwa mzuri na alinivutia sana kwa tabia zake nilitamani awe mke wangu bila kusita,nilijaribu kumzoea lakin ilikuwa ngumu kidogo kwani hata salamu hapokei na wala kuniangalia usoni,
nilijitahidi kujipendekeza kwa kila njia na kumtamanisha na vitu vingi ikiwemo kujionesha nina pesa lakin haikuwa rahisi.
nikaamua kuachana nae lakini kila rafiki yangu akija kunitembelea akimuona alikuwa anachanganyikiwa inanifanya narudisha tena majeshi lakin nagonga mwamba tulikuwa majirani ndani humo humo lakini ata namba ya simu yake
hakutaka kunipa,ilichukuwa takriban miezi 6 taratibu alikuwa ananizoea ikafikia ata kunipa namba ya simu sitaki kusema zaidi ilikuwaje lakin hatimaye tulikuwa wapenzi tena kwa ahadi ya kuoana,nampenda sana manka nae ananipenda.
Manka na dada yake waliama pale tulipokuwa tunakaa,na baadae walikwenda kwao moshi kwenye arusi ya dada yake,dada yake alirudi lakin manka hakurudi na alikuwa ameshamaliza masomo yake ya chuo,
Katikati ya mwezi uliopita pale ninapokaa wamewamia wasichana wazuri 2 wamemaliza chuo udsm wiki iliyopita,kiukwel sikutaka ata kuwazoea coz nampenda sana manka na niliamini akirudi yeye atakuwa anakuja kwangu,mwazon nilifanikiwa mpaka walikuwa wananiogopa,
Siku moja weekend nilikuwa natoka naelekea kutembea kwa ajiri ya kurefresh mind,wakati natoka wale mabint walikuwa nje mmoja akanitania unaelekea wapi na mim kiutani nikamwambia twende tukatembee,
bila kusita yule mmoja anaitwa fary akasema nisubili nakuja naenda kuvaa viatu kweli alikuja tukaingia kwenye gari na safari ikaanza hapo,niliekea kwa rafiki yangu mbezi beach then tukatafuta sehemu kule kule mbez beach tukala baga na muda ulipofika tukaondoka kama mida ya saa 2:30 ucku hivi,
wakat tupo njian yule bint(fary) alizipenda sana nyimbo zangu nilizokuwa nazipiga kwenye gari akasema nimpatie tukifika nyumban,hatimaye tukafika,mida ya saa 4 hivi ucku najiandaa kwenda kuoga nilale, mlango wangu ukagongwa,kufungua nakutana na sura ya fary,na kuniambia naomba nije niweke zile nyimbo ulizokuwa unapiga kenye gar,nilivuta pumzi kwanza then kiupore nikamwambia karibu nikawasha computer nikamwambia achukue mwenyewe anazozipenda na mimi nikaelekea kuoga,narudi kuoga namkuta anacheza game la zuma,ilikuwa usiku ilipofika saa 7 ucku ilinibidi nimwambie mimi nataka kulala kama vp kesho,akaniambia mbona unanifukuza nikamwambia hapana usiku sahizi,kama vipi lala,akasema hawezi kulala,mim nikaenda kitandan nikalala,
nimeamka nikastuka saa 9 nikamkuta bado anacheza zuma,nikamwambia njoo ulale usiku sahizi, baadae alikubali
na akapanda kitandan,
sikuweza kulala kwasababu fary ni mzuri kwa kwel tena mwenye makalio makubwa mwenye umbo namba 8 na sura ya kitoto inayovutia na laini katikati ucku ili nami asije kusema mwanaume suruali,nikamwomba tusex lakin alikataa na kusema yupo period sikumlazimisha tukalala mpaka asubuhi,na baadae aliondoka
siku ile ile mida ya saa 4 asubuh alikuja tena tukawa kama marafiki tuliojuana miaka mingi ivi,tulitengezeza chai tukanywa na cku nzima alishinda kwangu, tulipika chakula tulitengezeza juice,story na alinifundisha kucheza zuma,hatimaye ilifika usiku yaan ilikuwa kama ameamia kwangu kwani usiku tulilala tena wote,katkat ya ucku nilimwomba tena kusex alikubal lakin alisema tusitumie kondom,et hapend condom na huwa hasikii raha na huwa zinamuumiza, mim nilikata nikamwambia ni bora tusifanye sababu hatujuani,kweli hatukufanya mpaka asubuhi
mimi nilionyesha dalili ya kukasilika,
asubuhi alikubali aya tufanye tumia hiyo condom,kiukwel mim nilisita kufanya kwani nilishaingiwa na hofu,nilivyoona kwa jinsi ananizoea nikamwambia kwel kuhusu mahusiano kuwa nina mchumba hivyo siwezi kufanya nae sababu
naogopa atanipenda na mim nina mchumba anaitwa manka na yupo karibu kurudi,fary alichukia sana kwa taharifa
ile,basi alikasirika na hatimaye hakuna aliyekuwa anamwongelesha mwezie siku ile,ilipo fika tena usiku kama kawaida alikuja kwangu, na ndo siku hiyo tulifanya ila tulitumia kinga,na hapo alinihadithia kila kitu,kama ivi" alikuwa na mchumba wake alidumu nae miaka 3 yote wakat anasoma udsm lakin hakujua ni kama mume wa mtu,alifanyiwa kila kitu na huyo mume wa mtu.na hatimye alifumaniwa na mke wa huyo aliyekuwa mume wa mtu hapo alipokuwa amepangiwa na kupigwa vibaya sana mpaka alikwenda kwao kuuguza vidonda vyake kwahyo tangu ilo soo litokee hakuwa na mpenzi tena na alikuwa na hamu sana ya kufanya mapenzi ndo maana imekuwa rahisi sana kuwa karibu yangu, na ananipenda sana mimi kijana mwenzie,anatamani angenijua mapema,
si unajua tena mapenzi,fary alikufa kimapenzi kwangu mbayaaa,na mpaka hii leo anaishi na mim, kikubwa na kibaya amenipa miezi 2 niachane na huyo mchumba wangu manka,hataki niongee nae kwenye simu, na amenipa wik 1 kuanzaia leo niwe nimeama pale nilipo ili manka akirudi anikose anataka niwe na yeye
ndugu zangu kiukel najuta maana sitamani ata kurudi nyumbani kila siku kelele sipumui mimi,sheria kibao nyumbani kwangu,na manka anarudi wik ijajo
jaman jaman mtoto akinyia mkono huwezi kuukata najua nilishakosea naomba mawazo yenu na sio kunikashifu
nampenda sana manka mpezi wangu nifanyeje ili huyu fary achane na mimi nimejitahidi kumweonyesha simpend na kutomjari lakin nikirudi tu kelele mtindo mmmoja simu yangu ikiita anapokea yeye, na sometime ananipiga mpaka vibao,yaan vujo tupu ni mkorofi najuta,najuta na tamaa zangu, msahada wa haraka,sahizi nipo kazi ndiyo maana nimepata nafasi ata kuaandika maneno haya.naombeni mawazo,ushauri wenu nikirudi tu nianze kuyafanyia kazi nameshapotea mimi,
Munkari tuliza munkari wako ...huyu mwanaume pajama ashauvaa mkenge...daaaadekiAre you man or woman? Unapigwa had vibao? Dmn! Kwel tamaa! Afu bado hujajitambua! Yan ungekuwa karibu yangu nami ningekupga vibao KUKUZINDUA ULIPOLALA! yan we mtu had kahamia kwako! Anakutreat anavyotaka shiiti! HUJAMFUKUZA TU! What is buttocks by the way! Stp...! Umenikera !NTAKUSHAURI bdaye ngja munkari upoe kwanza loh!

Hivi hizi story(kama ni za kweli) wahusika wakizisoma haiwi tatizo kwa waanzisha thread? au wahusika hawawezi kuperuzi JF?
Mfano character wa hii hadithi, Manka hawezi kufungua JF?
Mh! haya bana!!Manka wako wengi tanzania hii and afta all manka ye ajui ka bwanake anamwanamkw mwingne so c rahisi ye kujua.aftarall hatujui ka mwandshi katumia majina halisia ya wahusika
mimi ni kijana nimemaliza chuo 2011,nimeamua kutoka nyumban na kwenda kupanga mitaa ya ubungo,na kwa sasa nina kazi nzuri tu nilishawahi kuwa na mpenzi lakini tuliachana,hapo nilipoamia nikakutana na bint mmoja mzuri anaitwa manka alikuwa anaishi na dada yake,kwa kwel alikuwa mzuri na alinivutia sana kwa tabia zake nilitamani awe mke wangu bila kusita,nilijaribu kumzoea lakin ilikuwa ngumu kidogo kwani hata salamu hapokei na wala kuniangalia usoni,