Maamuzi ya Mbowe yanaididimiza CHADEMA

Maamuzi ya Mbowe yanaididimiza CHADEMA

CCM haina jipya,propaganda hizi hizi kila siku.Binafsi nilishukuru kuondoka kwa Dr Slaa,sijawai kumwamini au kuvutiwa naye.
Namkubali sana Lowasa anajua kucheza mchezo wa siasa zaidi ya Donald Trump.
Mbowe kumleta Lowassa imenipa kumheshimu sana.
 
Mleta mada yawezekana haumfahamu vzr Katibu mkuu mpya.
Mziki wa slaa ulikua ni wa sayari nyingine kabisa,tangu huyu katibu mkuu achaguliwe ni kama hakuna uchaguzi uliofanyika,chama kipo usingizini!
 
Back
Top Bottom