Recent content by David Roble

  1. D

    Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

    Niliwahi kuiba kitabu cha Musiba maktaba ya Arusha nikawa nachana karatasi tano tano mpaka kikaisha......aise Kiranga,
  2. D

    Kungekuwa na mpango ili tuweze kufuga swala, nyumbu etc

    Hili niwazo zuri sana kwani lina manufaa mengi kwanza kutunza wasitoweke pili nyama yao nigali na inapatikana kwa nadra.
  3. D

    Clouds mwacheni Diamond

    Wasafi haijafikia hatua yakushindana na clouds hata robo na itaitajika muda ili kufikia lengo hilo na mnavyompa kichwa eti anawatia mawingu prsser dah! basi mondi anaona kweli kiuhalisia mond anatakiwa atulize akili akishindana kapotea sio kidogo kikweli....
  4. D

    Joseph Kusaga: Mtoto wa kwanza (Clouds) ni wa kwanza tu

    Mkuu naomba unijuze nikweli kabisa wasafi wameshafika atua hata yakushindana na redio free au kiss bado msimjaze mond aladhani ameshakua mkuu media inaitaji ufumilivu na ubunifu aise sio kwamba inasikika basi ushafika nop bado wanamuda wakutosha na inabedi mumshauri atafute watu wabunifu kwani...
  5. D

    Hiking in Tanzania

    Kuna morogoro, Tanga nk karibu ndio niko nakampuni yangu ndogo yautalii nimeianzisha karibu. 0759407809
  6. D

    Prison Break vs Money Heist

    24 ndo habari yamjini
  7. D

    Rose Garden: Bar inayopendwa na Majasusi

    Dah! we acha kabisa hamna siasa tamu kama za bar na bia huwa tunakuwa wachambuzi na wabobezi
  8. D

    Kiongozi wa Kanisa la Pentecostal Power Ministry, Nabii Eliya Mahela asema hakubaliani na alichokifanya Waziri Lugola

    Ni kweli kwani kuna maeneo yakiimani yanaitaji sana heshima kama kuna jambo kuna njia zkutumia sio unaingia kama umeenda kwenye kibanda cha gongo kwani unawapa butwa watu ambao hawajui kinachoendelea
  9. D

    Joram Kihango vs Willy Gamba

    Mtoto wa Mtobwe Neema bado anauza vitabu hivyo. Andika Neema Mtobwe FB
  10. D

    The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Aksante san comrade na nimekufatilia kwa muda sana naomba unitag mkuu
Back
Top Bottom