Prison Break vs Money Heist

Ok baada ya kumaliza money heist mpka season ya 3 naweza kusema hivi pb itabaki kuwa juu asee. Hii la casa de papel haijanishawishi kwa kweli kwa mbaali hata blind sport iko poa
 
Ninazo nyingi lakini pia huwa nazifuta. Kwa uchache nilizonazo ni;
Hostage
Ingobernable
Money heist
Suburra
The last ship
American odyssey
Ballers
Agent x us
Tyrant
Homeland
Power
Monkeys
Being mary jane
If loving you is wrong
Bates motel
Beauty and the beast na nyingine kadhaa.

Nipe list yako.
Mkuu naweza kuzipata vipi hizi series?
 
Unanipa mtihani wa kutoa majibu
Mwanzon kabla cjaingalia money heist nilidhan p break ndio best movies upand wa mind
Sasa nimeangalia MH dah vipand vinne vya mwanzo weee ni moto na nomeamua kupakuwa mzigo wote S01&S02 aiseee
Heist ina kisanga acha niendeleee hapa kula burudan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me mwenyew n fan mzur wa P break ila hata MH profesa anaanza kuwa kusaka vijana wa kaz weny ability ya kila ain af anawapa mission ya kumake bingo bila hat kuwa targeted na asakr sas mision ya kwanz tu askar wakatambua mzeee
Sikilizia matusi ya profesa mweny akil bablai an alichez na mind set mpk askar wakalet lori akaakia mtonyo akasepa
Prison break is better than money heist.

Picha linaanza kwa kujiweka mfungwa
Akiwa na plan pekee
Bila watu

Escape of sona prison!!
Yaani meng sana

Hebu msiikosee heshima prison break

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah,prison break huwezi kufananisha na hiyo money heist mkuu,huijui PB nadhani
Unanipa mtihani wa kutoa majibu
Mwanzon kabla cjaingalia money heist nilidhan p break ndio best movies upand wa mind
Sasa nimeangalia MH dah vipand vinne vya mwanzo weee ni moto na nomeamua kupakuwa mzigo wote S01&S02 aiseee
Heist ina kisanga acha niendeleee hapa kula burudan

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye series mm naona kila mtu na taste yake,wewe unaweza kupenda hii mwenzako ile,mwisho wa siku lengo ni kupata burudani..nikirudi kwenye hizi series mbili..unajua PB ilikua ya kitambo kidogo nadhani kama alivyosema mdau wengi tulianza kufuatilia series kipindi hicho..binafsi nimeangalia MH ni nzuri sema kuna muda story zinakua nyingi mpk inaboa..so far nimeiangalia mpk season 2.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom