Recent content by David Mushi

  1. D

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Umeme Huku kwetu hakuna Toka Mchana.Na Ulisema kukatila Katika kwa Umeme sasa Ni Historia
  2. D

    Kamati kuu chadema itajilaumu sana kukubali kuingia kwenye uchaguzi!

    Kama Chadema Wasingekuwepo kwenye kinyanganyiro cha Hizo Majimbo Mawili ya Ubunge Nakuam ia Hakuna hata Mtu Angekuja kusikiliza CCM anasema Nini.Chadema ndicho chama chenye Ushawishi Mwingi katika Kampeni na Kupata kura nyingi Ni Chedema tuu.Ila Siku ya Kuhesabu kura.Hapo ndiyo Matatizo Makubwa...
  3. D

    Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

    Kama tukiungana.Nakuambia ni Congo peke yake inatosha kulisha Bara lote la Africa.Alafu hizi nchi nyingine ni kusambaza Maendeleo kote katika Bara lote la Africa.
  4. D

    Mada Moto: Hivi ni sahihi kumchukia baba yako mzazi ambaye alishindwa kukusaidia kipindi akiwa na uwezo?

    Dawa ya hawa Wazazi wa Namna hiyo ni kukaa Nao Mbali haswa.Hawafai kabisa
  5. D

    Makame Mbarawa kwa mwendo huu unastahili sifa unaijenga Dar es Salaam Safi

    Watu wa kutoka Zanzibar huwa wanafanyakazi kweli Yaani Si Mchezo .Angalia Hata Hussen Mwinyi
  6. D

    Kumbe anamiliki gari, majungu yenu hayasaidii

    Nadhani alisema yeye alikuwa na 900 tuu.Sasa Wametafsiri kiviingine kabisa
  7. D

    Shamba zuri la ekari 20 kwa bei poa

    Weka Picha Mkuu
  8. D

    Wanaume, hamuwezi kumsaidia mwanamke mpaka ufanye nae mapenzi?

    Mbona tupo wengi tuu.Wewe Ni Msaada gani Unataka. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    Tanzia: Mmiliki wa hoteli ya Impala, Ngurdoto na Naura Springs Arusha afariki dunia

    Yaani Pamoja Na Pesa Zote hizo.Lakini Ndiyo Basi tena.Hata ukimuomba Mwenyezi Mungu Akupe hata Dakika 1 tuu ili uweze kuziona Mali zako.Lakini Milango yote tayati imefutwa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Nice city Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  11. D

    Usher Raymond kutalii nchini Tanzania pamoja na familia yake. Utalii unakuwa kwa speed ya 4G nchini

    Haya Bwana wee kalale sasa Bwana Raymond. Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  12. D

    Usher Raymond kutalii nchini Tanzania pamoja na familia yake. Utalii unakuwa kwa speed ya 4G nchini

    Wewe Ndiyo Mdafu.Huku kwenyewe hata kufika shida.Mdau ndiyo Maana nime comment.Inanihusu.Sasa wewe kwikiwikiwkiiw na povu linakutoka Mada yewenye hata haikuhsu.Kama vitu hamjui wacha kucomment.Kaa Pembeni wewee Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  13. D

    Usher Raymond kutalii nchini Tanzania pamoja na familia yake. Utalii unakuwa kwa speed ya 4G nchini

    Hivi Ninyi Watu Mnajua Ninacho kiongea Au vipi Ninyi Mijitu.Fikiria kwanza ndiyo Uweze ku comment.Mnapayuka payuka tuu hata Kufika kwenyewe huku kwenye hizi mbuga hamjawahi hata siku moja.N Nimesema kuwa Barabara Ni Mbovu sana hata hizi crueser tunazo zitumia kupeleka watalii huku zinaharibika...
Back
Top Bottom