Kamati kuu chadema itajilaumu sana kukubali kuingia kwenye uchaguzi!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,239
6cddde755320b8f7d889f0f7166aa43b.jpg
Wanasema namba hazidanganyi !
Bila shaka kamati kuu ya Chadema hadi kufikia muda huu wameanza kujilaumu kurejea kwenye kinyang-anyiro cha uchaguzi mdogo wa Ubunge Siha na Kinondoni.

Mambo ya medoda Je kujitoa inaruhusiwa?
 
Wanasema namba hazidanganyi !
Bila sha kamati kuu ya Chadema hadi kufikia muda huu wameanza kujilaumu kurejea kwenye kinyang-anyiro cha uchaguzi mdogo wa Ubunge Siha na Kinondoni.

Mambo ya medoda
Mbona kama unakimbizwa? Hujaeleweka kabisa huko kujilaumu na kudoda kwa mambo! Jaza minofu tufaudu!
 
Wanasema namba hazidanganyi !
Bila sha kamati kuu ya Chadema hadi kufikia muda huu wameanza kujilaumu kurejea kwenye kinyang-anyiro cha uchaguzi mdogo wa Ubunge Siha na Kinondoni.

Mambo ya medoda
Acha uongo uzinduzi kwa pande zote umekuwa na ufanisi mkubwa sana, watu wanaipenda sana chadema na Ukawa kuliko ccm.
 
mkuu unataka kujitutumua

Hii ndio raha ya siasa za ushindani, piga propaganda upendavyo lakini sio kutumia mapanga. Kampeni ziende hivi hivi, fanyeni propaganda mpendavyo, halafu siku ya kura atangazwe mshindi halali. Wananchi sasa hivi wanaujua ukweli, hadanganywi mtu. Vipi mgombea wa CuF hivi anaitwa nani maana hilo jimbo wanasema ni ngome yao.
 
Kuwa CDM kindakindaki haimaanishi usione ukweli
 
Kama Chadema Wasingekuwepo kwenye kinyanganyiro cha Hizo Majimbo Mawili ya Ubunge Nakuam ia Hakuna hata Mtu Angekuja kusikiliza CCM anasema Nini.Chadema ndicho chama chenye Ushawishi Mwingi katika Kampeni na Kupata kura nyingi Ni Chedema tuu.Ila Siku ya Kuhesabu kura.Hapo ndiyo Matatizo Makubwa yanapo waacha watu Midomo Wazi.
 
Back
Top Bottom