CCM haiwezi kuondoka madarakani kwa mikoa tisa tu peke yake inabidi nchi nzima mikoa yote ikibwage CCM maana hiyo mikoa tisa chama kingine kikishinda inabidi CCM isipate hata kura moja ya urais.
Mzazi ana umuhimi wake tena sana ila mke anayo pia umuhimu katika maisha ya mwanaume ndio maana watu wanasema ukimkosea mzazi utapata laana walijua wanamaanisha nini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.