kuna mada moja niliandika hapa kuhusu wazazi na mke au mume watu walinitusi sana wakidai mimi nimeokotwa ooh niltupwa na maneno kama hayo.
Lakini ndugu zangu wazazi wanaumuhimu mkubwa sana kutuzaa,kutulea,nk lakini mkeo au mguumeo ndo kila kitu kutokana na mda na wakati huo mfano mzazi wako anaumwa kalazwa labda arusha na mkeo anaumwa kalazwa dodoma na wewe uko dar umeenda kufungasha au umeenda kikazi ni wapi utawai
Au uko na mkeo anaumwa kalazwa at the same time maa au baba yako kalazwa utafanyaje usitukane changia kistarabu tu
YOTE TISA MKEO KWA WAKATI UKIWA UMEOA NDO MTU WA KARIBU KULIKO WOTE ASHANGAA SANA WALE WANAUME AMBAO WAANUNUA VITU KAMA SHAMBA,GARI,NYUMBA NK WANAWAAMBIA NDUGU AU WAZAZI WAO WANAUME HAWA NI TATIZO.
UNAJUA UNAPOMWAMBIA MKEO NI KWAAJILI YA WATOTO WAKO NA SI KWAAJILI YAKE. NA SI MWASEMA WATOTO NI WA BABA.