baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,407
- 4,945
Prof. Anna Tibaijuka anaweza kutuondolea umasikin 2015. tumuunge mkono jamani pls
Mkuu mbona tibaikuka amekiri dhahiri alikula mlungura wa pesa za escrow sasa tutamwaamin vipi mtu asiye mwadilifu, mimi nafkri ndani ya CCM kuna watu wana uwezo sana tofauti na hawa mnaowanadi kila kukicha humu either kwa maslahi binafsi au mjuavyo ,tuvute subira 2015 sio mbali kamati kuu itateua majina 5 ,yaliyo safi bila shaka kisha kuyapeleka kamati ya maadili,NEC na mkutano mkuu
Mimi nilikua naomba asiwemo hata mmoja ya hawa wenye makundi na wenye kashifa mbalimbali,Tanzania kwa sasa tunahitaji rais bora na si bora rais ili awanufaishe wana mtandao, yaani natamani tupate type ya mwl nyerere au sokoine
Na kila siku naomba hili litimie coz watanzania tunahitaji mabadiliko ya kiuchumi
.
