Recent content by DASM

  1. DASM

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Deogratius Ndejembi hamuwezi Mkandarasi CHICO. Hata Magufuli alimshindwa. Injinia Bishanga anaonewa bure

    Acha kumfananisha Magufuli na viongoxi wengine. Chico asingepewa tenda kipindi cha Magufuli akiwa Rais wa nchi.
  2. DASM

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ilivyonipokonya Mpenzi wangu

    Endelea kulewa na endelea kujiingiza kwenye Ulevi. Wenzio wanaendelea kumega tunda na kutafuta. Endelea kujiingiza kwenye Ulevi na kuwa mtu wa hivyo usioeleweka utapata pesa .
  3. DASM

    JamiiForums Tanzania Mario: marekani bongo fleva haipigwi kabisa bado tuna safari ndefu, roma kurudi bongo

    Inawezakana hata hawaifaham nchi inaitwa Tanzania. Angalau Kenya Ina jina kubwa kiasi
  4. DASM

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa Tanzania. Ila wachagga wakifanikiwa kushika top position watawekana kindugu Kila sekta kubwa watakuepo ni wao
  5. DASM

    JamiiForums Tanzania Dilemma: Mke alikiri mtoto wa mwisho si wa mume na kisha akafariki. Mshaurini mume afanyaje baada ya huu usaliti

    Mila zao zipo hivo . Sio Kila mtu anaweza kuhundle situation
  6. DASM

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye fedha, kipato kikubwa, kipato kidogo, wana uhakika wa kupata sex ila sio love

    Mwanaume anachohitaji ni sex zaid . Kama una uwezo wa kulipia Haina shida
  7. DASM

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu wa Biashara (Business Studies) Tanga tuliahidiwa kuendelezwa kimasomo, sasa hivi wanatukataa

    Unajua serikalini kwa level za halmashauri Huwa haxisomeshi watumishi. Kama ulivyojisomesha mpaka ukapata hiyo qualifications tenga mda wako na bajeti uendee ukasomee postgraduate ya education. Au tafuta namna ufanyiwe recategorization
  8. DASM

    JamiiForums Tanzania Ni bora kukomaa hapahapa Tanzania mungu atajaalia, kila nikiwaangalia wanao rudi kutoka Afrika Kusini, nachoka kabisa

    Wapo waliofanikiwa wakiwa nje ya nchi tena ni wengi sana especially in Europe countries na Asian countries. Hata wanaoimport bidhaa nchini wengi ni wale walioenda nchi za nje kutafuta na wakagundua Kun vitu vinahitajika Tanzania nav wakaanza ku import tz. Wengine walioenda kwa kupata...
  9. DASM

    JamiiForums Tanzania Napenda Kumjibu Mzee Warioba Ya Kuwa CCM Itaongoza Taifa hili Hadi Mwisho wa Dunia Na Ataicha ikiwa Madarakani. Aache Chuki Binafsi Kwa Rais wetu

    Ndg yangu level za kujifananisha na kujifanya unaipenda ccm na unaijua ccm kuliko Mzee jaji Joseph Sinde warioba . Sinde Warioba alikuepo ni Makamu wa kwanza wa Rais na pia waziri mkuu sio level ndogo. MWenxio kama ni kufaidi mazuro ya ccm huwezi kumxidi
  10. DASM

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kijana wa mjini asiye na pesa katika zama hizi kumiliki mwanamke mzuri

    Ilishanitokea hii Kuna mdada aliniomba lift kwenye pikipiki yangu tukiwa tunatokea ofisini ghafla Prado ikasimama akashuka pikipiki akapande gari
  11. DASM

    JamiiForums Tanzania Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

    Hao ni mateja tuu. Kama wanavyoonekana
  12. DASM

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali irekebishe Kanuni hizi, zinatuzuia wenye Diploma za Medicine kusomea Degree

    Nenda ukasomee nje ya nchi inawezakana vigezo vipo tofauti tafuta vyuo Uganda, Kenya , Malawi au Zambia . Angalia entry qualifications zao zipoje
  13. DASM

    JamiiForums Tanzania Mnaokula wake zetu na kutuona sisi wazembe, mna hakika nyie mtaweza?

    Kama hu Kama huduma mbovu ni Bora kuomba talaka ili uende ukaolewe kwa huyo mwenye huduma nzuri. Kuliko kuteseka kwa kuiba Bora kukubali kuachika ikiwezekana kwa talaka ili kwenda kwa mwenye huduma nzuri
  14. DASM

    JamiiForums Tanzania HOJA Mimi ni mwajiriwa Serikalini. Nilikopa, ila nimefeli malengo nahisi ninaenda kupotea

    Kum Kuingia kwenye ulevi ndio kosa la kwanza umelifanya na kufukuza mwanamke ndio kubwa umelifanya litakugharimu. Ungeendelea kuishi na mwanamke kwanza huku unaendelea kujipanga polepole. Maisha sio ya kuyakatia tamaa hivo
  15. DASM

    JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Nenda hospital kapime ujue tatizo linaanzia wapi level za hormones, pressure, pima vidonda vya tumbo, sukari(diabetes) angalia kama una tatizo la mngongo kuchemka na miguu kuwaka moto kwanza (tatizo la neurons). Miguu kuwaka moto na mgongo kuchemka unatumia vidonge vya neurobion na pregabalin...
Back
Top Bottom