Recent content by Dashy 99

  1. D

    Mizigo ya transit ndani na nje ya Tanzania

    Habari zenu wadau Wadau kama kuna mtu anajua jinsi ya kupata mizigo ya transit ndani na nje ya tanzania ani PM ,nimpe mchongo ale yeye na mimi nipate kidogo.mzigo usiwe na cheni ya madalali. kuna kampuni ina gari za kutosha tu. ila ni mpya wateja wamekuwa wa kusuasua.
  2. D

    Natafuta mtaalam wa video production na still picture

    Wanajamii mi nipo dar natafuta mwalimu mtaalam wa mambo ya video production na still picture anifundishe ntamlipa,kama yupo tayari ani pm
  3. D

    Niuzie digital camera

    Natafuta mwalimu wa video production awepo dar ntamlipa
  4. D

    Natafuta fremu ya biashara Kigamboni

    Habari zenu wana jamii. Natafuta fremu ya kufanyia biashara maeneo ya kigamboni mjimwema,geza au ungindoni kwa yeyote mwenye taharifa kuhusu fremu za biashara maeneo hayo au karibu na maeneo hayo kwa kigamboni.ianzie laki kushuka chini wakuu tusaidiane kwa hili.ani INBOX
  5. D

    NATO v/s RUSSIA Military Powers. See Videos. Nani Atashinda VITA hii ya NNE YA DUNIA?.

    hivi ikitokea russia akaitupa us dollar kwenye reserve yake na china akaikacha dollar.unadhani mmarekani ataweza hata kutambaa na uchumi utadondoka kwa siku moja ndo mana US anajitaidi china asiingilie huu mgogoro anajua kifo chake ndo kitafikia,Unajua china kasimama upande gani katikati,kwa...
  6. D

    Russian invasion on Crimea is underway

    duh mkuu upo dunia ya wapi.ukraine asimame vita na russia hata mwezi hachukui labda isiwe total war.au ujaona military base za ukraine zilivyo zungukwa na askali wapo ndani kama kuku.ebu search topol m na s-400.utajua kwa nini nasema hivyo.Nini Ukraine hata NATO bila ya msaada wa US awa...
  7. D

    Russia sinks ship to block Urkrainian naval vessels from entering Black Sea

    dah kuna raia sijui wana ishi dunia ya ngapi hadi leo wanashindwa kutambua propaganda za US na washirika wake.ebu pitieni pitieni news tofauti tofauti.russia anakila haki ya kufanya chochote pale cramea.
  8. D

    Kuinyima misaada Russia ni ujinga usiofikirika kwa Marekani

    wameingia kichwa kichwa kwa russia watajuta angekuwa mwarabu NATO washamchapa siku nyingi,ila kwa russia vikao tu wanadai busara itumike.Russia hata aichukue ukrain yote watabaki na vikao tu si jaona nchi ya kuanzisha ww3russia ata wamuwekee vikwazo atacheza na rafiki yake china ambayo idadi ya...
  9. D

    Crimea yapiga kura na kuamua kuungana na Russia.

    walianza libya na vinchi vya ajabu ajabu wakavionea ovyo ovyo,wakatuma vibaraka wao wakaiaribu sirya wakashindwa kuichukua yote,wakatuma intelligent agency wakajifanye wa ukrain waka washoot waandamanaji kwa bunduki zao wajifanye ni askali wamepewa order na rais,machafuko yakazidi wakajalibu...
  10. D

    Tanzanian Air Force takes delivery of 14 new J-7G fighter jets

    Nchi nyingi zilizo tuzunguka chomvu tu,wao wenyewe wanapigana wao kwa wao.TZ spy mpaka uswahilini wengine hata awalipwi wanajitolea tu.sioni hata nchi inayoweza kusimama na tanzania kivita kati ya hizi zinazo tuzunguka.kwanza sisi sio wachokozi ila ukilianzisha ndo utatujua vizuri
  11. D

    Kutafuta kazi pia nako kazi

    Habari wana jamii.naulizia kazi za customer care kwenye kampuni za simu kama voda,tigo,airtel zina patikana vipi jamani,anae jua anijuze.mana hata matangazo yake ya kazi siyaoni. asanteni wanajamii
  12. D

    Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    s0355/0054/2010 jamani msaada naomba nichekieni loan kama nimepata please
  13. D

    Biashara

    wanajamii nisaidieni anaefahamu bei ya jumla ya cd za filamu za bongo,na wapi na weza kupata kwa bei nafuu kwa dar es salaam.Nahitaji pisi kama 300 hivi.kama unajua lolote kuhusu hii kitu ni pm please
  14. D

    Kazi ya kujitolea

    Kwa yeyote mwenye ofisi yake ya ufundi wa vifaa vya electronic naomba anisaidie jamani naitaji kuongeza ujuzi na kujifunza zaidi ufundi wa electronic,vizuri kama atakuwa dar es salaam.nisaidieni kwa hili wanajamii.Nitajitolea kufanya kazi zake for free.kama upo tayari ni PM
  15. D

    Natafuta vifaa vya jiko la chipsi na chakula bar

    Jamani wanajamii kwa yeyote anaye uza vifaa vya jiko la baa namaanisha .majiko .makarai .kabati za chipsi .na zaga zaga nyingine zinazo husika na jiko la bar awepo dar es salaam.tuwasiliane 0714509 709
Back
Top Bottom