dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,534
Wawawekee 2 hvo vikwazo ili na sie gesi yetu ya mtwara ipate wateja!
Nimecheka sana,,,!! kwahiyo RUSIA acpowekewa vikwazo GESI ya MTWARA itaozea kwenye maBOMBA!
Wawawekee 2 hvo vikwazo ili na sie gesi yetu ya mtwara ipate wateja!
Russia zaidi ya nuclear weapons ana nini?njaa Kali tuu and full west dependency na gas yake kila akichukia anafunga pipes,
Russia zaidi ya nuclear weapons ana nini?njaa Kali tuu and full west dependency na gas yake kila akichukia anafunga pipes,
Kama hata peleka gesi ulaya na ulaya itayumba kwa sababu wana tegemea gesi kwa mambo mengi, so it a lose lose situation