Habari zenu wadau
Wadau kama kuna mtu anajua jinsi ya kupata mizigo ya transit ndani na nje ya tanzania ani PM ,nimpe mchongo ale yeye na mimi nipate kidogo.mzigo usiwe na cheni ya madalali. kuna kampuni ina gari za kutosha tu. ila ni mpya wateja wamekuwa wa kusuasua.