Recent content by DarKwetu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

    Mara nyingi ni dalili ya mwanamke kutojiamini.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

    Akihojiwa na Salama wa ch 5 aliwahi kusema hawezi kuvaa bikini kwasababu ya mtoto wake. Imekuwaje tena?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Shoo ya Comedian Kansiime TZ: Waandaji wamefikiria lugha?

    Show hiyo ni lini.Nataka niwepo.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

    Ali Kiba mkali Diamond anabebwa na promo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ananipenda kweli au najidanganya!

    Pole sana. Hata hivyo nyote wadogo tu. Ni kawaida ya wasichana bikira kuwa na usumbufu kama huo. We jipe muda kuna siku atakubali bila ya wewe kutumia nguvu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Hapana ila hizo hutuba hazina tofauti na unavofutilia historia fulani. Na historia hutoa mafunzo ya siku zijazo ila si lazima ufanye kama zamani ingawa unajifunza kutokana na nyakati zilizopita.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Basi tusingekuwa tunasoma somo la historia!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

    Wengi ni za wazazi wao au mabwana zao. Si unajua mabinti wa siku hizi wengi show off kwa wingi.Hata hivyo wapo wanaomiliki ya kwao lakini si wengi ki vile.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wana oa na kuolewa?

    Hata maisha binafsi yana changamoto. Kwahiyo tusitishe maisha pia kwasababu ya Changamoto? The only way ni kutafuta solution na siyo kukimbia tatizo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

    Weka picha ya Dida tumuone.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wana oa na kuolewa?

    Kama si kuoa au kuolewa usingekuwepo. Jiulize we una sababu ya kuwepo hapa duniani? Kama ipo utakuwa umepata jibu.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Physics naomba majibu

    Ni kweli kwamba ni sakiti. Nimekosea wapi kwenye switch maana switch off ni sawa njia hakuna.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Physics naomba majibu

    Katika mfumo wa umeme kuna mambo 4. 1. Chanzo cha umeme.mf generator kwa umeme wa Ac na solar cell au battery kwa upande wa DC. 2. Njia ya kusafirishia umeme yaani nyaya. 3. Chombo kinachotumia umeme (load). 4. vyombo vya kudhibiti mfumo wa umeme mfano switch, circuit breaker n.k. Ili mfumo...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

    Hongera Regina
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kuvimbisha nyonyo na kuyanyanyua ni urembo au mitego?

    Mi kwangu hiyo si sawa. Yale ambayo hayajavaa sidiria na akavaa blauzi nyepesi yanaleta passion zaidi hata kama hayaonekani. Na akivaa hivo na ikiwa ni saa sita hiyo ni funga kazi.
Back
Top Bottom