Wasomi wa Physics naomba majibu

Wasomi wa Physics naomba majibu

Katika mfumo wa umeme kuna mambo 4.
1. Chanzo cha umeme.mf generator kwa umeme wa Ac na solar cell au battery kwa upande wa DC.
2. Njia ya kusafirishia umeme yaani nyaya.
3. Chombo kinachotumia umeme (load).
4. vyombo vya kudhibiti mfumo wa umeme mfano switch, circuit breaker n.k.

Ili mfumo ufanye kazi lazima umeme utoke kwenye chanzo na urudi tena. Kwahiyo namba 1, 2 na 3 ni lazima kwa mfumo kufanya kazi. Namba 4 ni kutoa uhuru kwa mtumiaji kudhibiti huo mfumo na kuhakikisha usalama wa mfumo.

Nikirudi kwenye swali bila switch ina maana umeme haurudi kwenye chanzo. Unaweza tu pale switch iko on na si vinginevyo. Kwa maans hiyo umeme hauendi.
 
Umeme hauendi, coz hapo ni sawa na open circuit, kwa kuwa hamna "load" yeyote basi hakutakuwa na power loss.

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hapa nadhani majidid kahtaan hatii maguu!

JIBU:
1. Inategemea aina ya umeme kama ni Alternating Current {A.C.} au Direct Current {D.C.}

2. Kwenye D.C. inategemea kama na aina ya circuit kama ni SERIES OR PARALLEL CONFIGURATION ambapo kwenye series circuit kama bulb haipo umeme hautopita
 
Last edited by a moderator:
Katika mfumo wa umeme kuna mambo 4.
1. Chanzo cha umeme.mf generator kwa umeme wa Ac na solar cell au battery kwa upande wa DC.
2. Njia ya kusafirishia umeme yaani nyaya.
3. Chombo kinachotumia umeme (load).
4. vyombo vya kudhibiti mfumo wa umeme mfano switch, circuit breaker n.k.

Ili mfumo ufanye kazi lazima umeme utoke kwenye chanzo na urudi tena. Kwahiyo namba 1, 2 na 3 ni lazima kwa mfumo kufanya kazi. Namba 4 ni kutoa uhuru kwa mtumiaji kudhibiti huo mfumo na kuhakikisha usalama wa mfumo.

Nikirudi kwenye swali bila switch ina maana umeme haurudi kwenye chanzo. Unaweza tu pale switch iko on na si vinginevyo. Kwa maans hiyo umeme hauendi.

namba moja mpaka nne ni CIRCUIT ila kwenye switch umekosea
 
Kichuguu!

Nakukatalia, umeme hauendi hapo(hautumiki) kwamaana hiyo siyo complete circuit. Workload hamna hapo, kwahiyo hakuna movement yeyote ya curtent. Ni open circuit hiyo hata kama ni AC . Work is done when a force produce motion. Hakuna load, hakuna motion hapo.

mkuu fikiria kuhusu parallel configuration!
 
Ni kweli kwamba ni sakiti. Nimekosea wapi kwenye switch maana switch off ni sawa njia hakuna.

DarKwetu, what pushes the electrons ni ELECTROMOTIVE FORCE (EMF) na si switch ndo maana nikakwambia inategemea na factors nyingi ikiwemo:
1. Aina ya sakiti kama ni sambamba ama mfuatano

2. Aina ya umeme kama ni D.C. au A.C.
 
Kama utachukulia kama energy kutakuwa na very small loss of energy(kuna factors zinahusika),kama unazungumzia current electricity hamna itayokuwa imetumika(hakuna electrical applience hapo).

Kwanini current isitumike wakati kuna some small amount of energy loss?
 
Jaribu kushika kama hamna hautokupiga kama upo utaisoma namba swali rahisi mnaanza kuumpa majibu magumu..
 
Mkuu, hapa anazungumzia taa, na amini itakua ya kawaida inayotumia single phase. Voltage hapa tuna zungumzia 230v. Sioni possibility ya ku form capacitor au inductor kwa hiyo voltage kidogo. Ingekua 11 kv,33kv ingekua sawa.kwa kesi ya hii hakutakua na umeme utaotumika. No load.for current to flow there must be a load. Na kwa kesi hiyo load ni taa.hakuna taa hakuna umeme

Waya zenyewe hizi za nhuu nhaa! Ni load tosha kabisa, so umeme 'utaenda' (kwa lugha ya mtoa mada). Kwa hiyo kama unit za umeme zilikuwa AH, baada ya muda zitakuwa AH - x, ambapo x ni umeme 'ulioenda'
 
Law of conservation opf energy:"Energy cannot be created or destroyed, it can only be changed from one form to another"
 
Back
Top Bottom