MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
Inaelekea wewe bngwa sana wa malaya ndio maana unajua mambo yao..
vip hali ndugu
Inaelekea wewe bngwa sana wa malaya ndio maana unajua mambo yao..
ivi waislam ambao wako JF , kweli si wanafunga bure..??
Ha ha ha kikitolewa bila malipo ila kwa yoyote sio malaya???
nipataniwe bei na wanaume suruali kama wewe au badala uwaze kujenga taifa unawaza kubonjezwa kizenji hahahaa
Umeonaee wametoka povu kweli!
Usiwe mjinga, anayekwambia ukweli anataka ujirekebishe!!! hajakutukana.
Kujipodoa kwao kunakuwasha nini?????? Kila mtu na maisha yake anaishi apendavyo, afu Malaya anawajua Malaya wenzake tena wewe ndo Malaya mkubwa.
Mara nyingi ni dalili ya mwanamke kutojiamini.
vip hali ndugu
Akili zako zinasomeka kupitia kwenye posts zako, Mungu amenibariki amenipa mama smart sana, na ninamshukuru sana kwa hilo, na siwezi kuwa na mama mjinga kama wewe!! na kama una uwezo wa kunizaa mimi basi bado nipo sahihi kukuita binti kwa sababu kichwa changu kinauwezo wa kufikiria mara 100 zaidi yako na ninawaulumia sana hao watoto utakaowazaa kwa sababu hawana bahati kama ya kwangu na sijui wamemkosea nini Mungu.
nijirekebishe nini kibaya hapo midomo ikikauka niogope kuto lipshine nipake kisa nitaonekana malaya khaaaa ukiiishi kwa kuogopa wanadamu hutofanikiwa kamwe katika nyanja zote
hahahahahahaha wazimu kweli wewe!
Yani mje hapa kutukana wanawake mnavojiskia mkijibiwa mnavostahili ndo mnamkumbuka mungu?
Endelea kutukana usikimbilie mwavuli wa maandiko!
Endelea na gear uliyoingia nayo!
Busara unaijua?
Unajua kuchambua hoja kwa busara?
Rudi kweny post zako!
Af ndo uanze kulia lia kama umekalia kengele za mwanaume mwenzio!
Halafu niliposema nakuzaa nikiwa nimesimama sikumaanisha uwe mtoto wangu !maana wallahi ngekubania shingo usitoke laiti aliyekuzaa angejua analeta hasara kiasi gani!
Akili zako zinasomeka kupitia kwenye posts zako, Mungu amenibariki amenipa mama smart sana, na ninamshukuru sana kwa hilo, na siwezi kuwa na mama mjinga kama wewe!! na kama una uwezo wa kunizaa mimi basi bado nipo sahihi kukuita binti kwa sababu kichwa changu kinauwezo wa kufikiria mara 100 zaidi yako na ninawaulumia sana hao watoto utakaowazaa kwa sababu hawana bahati kama ya kwangu na sijui wamemkosea nini Mungu.
Waone povu lnavowatoka kama wanaumwa vfafa vle.heeeee dereva nsogezee kioo nijpodoe mieeeeeeee
Waone povu lnavowatoka kama wanaumwa vfafa vle.heeeee dereva nsogezee kioo nijpodoe mieeeeeeee