Hapa kuna mambo yafuatayo
Huo umri utakuwa umedanganya
Kama ni umri wako basi uwezo wako wa kufikiri uligoma kukua tangu zamani sana
Kama hilo tatizo hapo juu halipo basi uliwahi kuumizwa sana kiasi kwamba umeamua kulichukia hilo jambo
USHAURI
Kama kuna kinachokuhusu kati ya hivyo hapo juu tafuta msaada haraka sana!
Sasa ndugu yangu unapo nishambulia mimi badala ya kujikita kwenye mada ya kutoa majibu ya mada.
Sijakuelewa kwa nini unanishambulia person.
Swala ni kwamba lengo la watu kuoana ni nini.
Kama kuzaa unaweza ukazaa bila kuoa au kuolewa.
kama ushauri unaweza ukashauriwa na mtu yeyote.
Kama kampani unaweza pata kwa mtu yeyoye.
Kama ku du unaweza ukanoa kisu chako kila siku bila hata kuoa.
So lengo kubwa sana la kuoa ni nini?
Rejea kwenye mada.
Kuna kitu hukijui
nI kwamba kabla ya kuamua kuweka mada yoyote hapa kuna majadiliano kati ya wewe na akili yako kama unachotaka kuweka hapa kiko sahihi,naamini huwa unapitia hatua hizi kwani kama hupitii ni hatari zaidi
Hapo kwenye kutafakari ndipo penye hazina yote
Unapotafakari na akili yako ikakuambia kuja kuuliza hapa sababu ya kuoa na kuolewa hiyo inamaana kuwa wewe umeshindwa kuiona hiyo sababu ndio maana ukaja hapa kuuliza,ungekuwa unaijua usingeuliza
Sasa kama umeshindwa kujua sababu ndipo msingi wa kile nilichokuambia unapokuja kwa maana kuwa hayo niliyokuambia ndio yanasababisha umeshindwa kuijua sababu ya watu kuingia kwenye ndoa
Kwa hiki ulichokiandika hapa sasa kwenye hii post ninayoi quote hapa kinatoa jibu kuwa wewe ni mtoto mdogo sana au huna uwezi mzuri wa kutafakari kama una umri uliousema hapo juu!
Hivi kunaumuhimu wowote wa kuoa au kuolewa?
Naona umezoea kuishi kwa assumption sanaKatika akili zako unaweza ukafikilia kuwa unaakili. Akili ulizonazo ni juu ya kichwa chako. Tatizo lako ni moja tu unadhani kwakuwa watu wanaokuzunguka wanakupa kichwa na umejitutumua sasa na kujiona wewe una akili kumbe ni mjinga wa kwanza kabisa.
Unapo comment kitu lazima ujifunze kujua content zilizo ndani ya thread sio kukurupuka na kujifanya unaakili kumbe kichwa kikubwa ndani hakuna kitu. Usitumie kichwa kufugia nywele jaribu kidogo kushirikisha akili na mikono yako.
Soma kwanza content zilizo ndani ya thread kisha toa comment.
sawa!!?
Hapa kuna mambo yafuatayo
Huo umri utakuwa umedanganya
Kama ni umri wako basi uwezo wako wa kufikiri uligoma kukua tangu zamani sana
Kama hilo tatizo hapo juu halipo basi uliwahi kuumizwa sana kiasi kwamba umeamua kulichukia hilo jambo
USHAURI
Kama kuna kinachokuhusu kati ya hivyo hapo juu tafuta msaada haraka sana!
Naona umezoea kuishi kwa assumption sana
Assumption will cost you someday
Kila la kheri!
aisee! shikamoo Mr. Eiyer
Ndio hicho ninachokiongelea hapa. Ungekuwa kweli akili zinachaji usinge quote comment yangu uliyo iquote sasa.
Ngoja nikuulize kitu kimoja. Je ukitaka kupima umbali kutoka dunia kwenda kwenye mwezi utapimaje? You must use assumption kupata real thing OK.
Where have you been?
mmmh mwenzangu nilikuwa kwenye mihangaiko tu ya maisha!