Recent content by Darius

  1. Darius

    JamiiForums Tanzania Fiesta Morogoro

    Kumbukeni kwamba hii ya EFM ni show ya bure!!
  2. Darius

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

    So which is which!? Samsung s6 edge or IPhone 6s!??...... Maana nashindwa fika conclusion hapa .....comments bado zinahitajika!! Nataka niingie shop nidake moja wapo.
  3. Darius

    JamiiForums Tanzania Badili mtazamo wako kuhusu BMW

    !and; at at at at p;_71&:6: Y;tiff;
  4. Darius

    JamiiForums Tanzania Awesome Results: Ndanda Secondary School

    Was there 2011/2013 ....congratulations my old school!!!
  5. Darius

    JamiiForums Tanzania Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

    Hahahahaha.....Mwalimu Kashasha noma sanaaaa.....Daah mecheka kichizi!!
  6. Darius

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    hamna namna....hata hii itafaa kunisogezaa .....Ntakutafuta mkuu.
  7. Darius

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Shukrani kiongozi.....isiyokuwa smart jee!? How much!?
  8. Darius

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    @Abdulwahid mkuu uliniuziga Samsung Smart TV mwaka juzi......nimerudi tena mkuu ile TV wamevunja mlango wameiba....!! Sasa hivi nataka brand yoyote ndogo i.e TCL Inch32 (isiwe smart) ......!!! Sh. ngapi sijui....maana world cup hii kinyonge.
  9. Darius

    JamiiForums Tanzania NBA 2017/2018 Season Special Thread

    Nice
  10. Darius

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

    Respect Mkuu.......Umetisha!
  11. Darius

    JamiiForums Tanzania Simba kushuka dimbani na Al Masry ya Misri tarehe 6 na 16 Machi 2018

    Haloo CAF.., Simba wakitaka kujitoa kwenye huduma hii eti wabonyeze ngapi!?
  12. Darius

    JamiiForums Tanzania The Kingsman 2: The Golden circle Movie Premier!

    Ya kwanza ilikuwa kali ila hii ya pili....sio kiivo.
  13. Darius

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mkuu lusungo nitumie mwaliko basi na mimi nijilipue!! Shule ishaisha huku!
  14. Darius

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Mkuu naona kila ulipopita mchiki down na mimi nimepita.......umemaliza mwaka gani!? O level n A level....!? inawezekana tulikuwa tunagombania wote milango.!
  15. Darius

    JamiiForums Tanzania Ujerumani atatwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia 2018

    Argentina
Back
Top Bottom