Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,273
Hivi Manchester amepangwa kundi gani kombe la Dunia
MMkalawile ndio 'ticha' alikuwa always anatendea haki mbavu coz lazima ucheke tu kwa vioja vyake,kama sijachanganya madesa.kulikuwa na kipindi kitu cha 'pumbu erosion' kilitikisa mitaa ile.Siku zinakimbia sana.Almost 8 years now.Live long NDABO