The Kingsman 2: The Golden circle Movie Premier!

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,312
Reaction score
12,200
Habarini wadau.
Leo ile movie ya action ijulikanayo kama kingsman 2: the golden circle inazinduliwa huko Marekani na sehemu kadhaa duniani.
Katika part 2 ya hii movie inajikita kuelezea kisa mara baada ya kulipuliwa kwa makao makuu ya the kingmans' secret service organization hii inahusika na ushushu (spying organization) ambapo katika kuwatafuta wahusika jamaa wanakuja gundua USA napo kuna organization yenye malengo sawa na yao ikijulikana kama the statesman.
Kuangalia release date ya movie hii duniani ingia kwenye link hapa chini.
lMWU4Y2.jpg

Gkzcj.jpg

Kingsman: Le cercle d'or (2017) - Release Info - IMDb
 
Napenda sana inapo kua ikifika hapa...

Bryan Ferry - Slave to Love (Kingsman: the Secret Service) ......
.
.
.
Bryan Ferry akisha katizwa kuimba na Dean(Jamaa kama ilvyo roho yake mbaya anamwamlisha Mama wa Eggsy azime mziki (Ipad).

[Pretending that Merlin is his servant at Valentine's party]

Gary 'Eggsy' Unwin : Mycroft, you've just been promoted from my pilot to my valet.
[Michelle's iPad plays Bryan Ferry's "Slave to Love" at the pub]

Dean : Michelle, turn that shit off. It's burning my nuts in.
[Michelle is about to turn off the iPad when Eggsy, now a full-fledged Kingsman agent, arrives]
Gary 'Eggsy' Unwin : I rather like that song. Leave it on, mum.

[Dean turns off the iPad]
Dean : Mugsy's back. You've finally come to have that word with me, have you son? Or are you gonna run away and pretend you're gonna have another cool dress like that?
Gary 'Eggsy' Unwin : Oh, you mean this? No. I know this bloke who's just taken over a tailor shop on Savile Row. He's given me a job, mum. Comes with a lot of perks, including a house. Come and live with me there, mum. Come on.

[Michelle is about to stand up when Dean interrupts them]
Dean : Sit down, you! Only place she'll be visiting is you in a fucking hospital, d'you hear?
Michelle Unwin : Just leave him alone, Dean! Eggsy, go, please. Just go, babe.

Gary 'Eggsy' Unwin : Alright.
[Eggsy turns around toward the door]
Dean : Yeah, do as mummy says. Tell that tailor friend of yours to make a nice chicken costume that'll suit your mug.

[Eggsy stops at the front door]
Gary 'Eggsy' Unwin : As a good friend once said: Manners...
[Eggsy locks the left door]

Gary 'Eggsy' Unwin : ... maketh...
[Locks the right door]

Gary 'Eggsy' Unwin : ... man.
[Locks the doorknob]

Poodle : Dean...

Dean : Shut the *** up. Eggsy, I'm gonna shove your manners up your ***...

[Eggsy hooks a beer mug wit
h his umbrella and flings it, knocking out Dean. He then approaches the rest of the gang]

Gary 'Eggsy' Unwin : So, are we going to stand around here all day, or are we going to fight?.

[emoji23] [emoji23]
 
Habarini wadau.
Leo ile movie ya action ijulikanayo kama kingsman 2: the golden circle inazinduliwa huko Marekani na sehemu kadhaa duniani.
Katika part 2 ya hii movie inajikita kuelezea kisa mara baada ya kulipuliwa kwa makao makuu ya the kingmans' secret service organization hii inahusika na ushushu (spying organization) ambapo katika kuwatafuta wahusika jamaa wanakuja gundua USA napo kuna organization yenye malengo sawa na yao ikijulikana kama the statesman.
Kuangalia release date ya movie hii duniani ingia kwenye link hapa chini.
View attachment 593699
View attachment 593700
Kingsman: Le cercle d'or (2017) - Release Info - IMDb
Lete link ya kudanload kingsman ya kwanza.
 
Naona new characters na mkongwe Jeff Bridges ndani.
 
Sikuhizi Waingereza wamekuja juu sana kwenye Movie, hata Hollywood wanaenda sana UK kutengeneza movie.
 
Hii Movie nmeitazama jana.. imenipa mwangaza fulani...
Movie za kizungu hasa kama hizi za kusadikika huwa kuna mambo wanayaonyesha ambayo mpaka utulize akili ndio utaelewa kuwa every point ya movie ina maana ,na promotion

Yani katika kila movie za mbele huko za mambo ya kusadikika huwa kuna Promotion, burudani,na siri fulani...

wakati naitazama mwanzo nilitaka kuitoa maana niliona wanafanya mambo ya kisadikika tu... lakini ilipofika mahala huyo jamaa ambae ni star anazamisha gari yake kwenye maji halafu anatokea chini ya maji kwenye head quarter zao.... nikapata wazo fulani,linalohusiana na Bermida Triangle kuna nadharia inasema kwamba pale kuna aliens base,,nmeanza kuamini sio aliens yawezekana kuna watu na hao aliens wanafanya big project...
maana nili imagine pale police wangeingia wasingetoka ..lazima tu wangeuwawa ili kuficha siri kuwa ndani ya maji yale kuna njia za kwenda mahala pa siri... na hata chombo chao kisingepatikana maana kingewekwa mahala humo humo ili iendelee kuwa siri... kwasababu ya ukubwa wa watu ambao wanayafanya hayo endapo watagundulika itakua sintomfahamu.... ndio sawa sawa na kingsman waliojificha nyumba ya mwamvuli wa duka la ushonaji nguo kumbe kuna zaidi ya ushonaji nguo kwa wale wenye macho makali...

halafu kuna mahala majamaa walifata hazina ya pombe... wakaenda na kakitu kadogo kama nembo fulani ya chuma ,wakapachika mahala pakajifungua... na hio sehemu ukitazama unaona zege la haja... nikakumbuka hazina za mjerumani.... nyinyi mnachimba wao wanakuja week moja mtu anakuja na vtu kama hivyo anagusa tu pamefunguka.... hata ukitazama majengo waliyoyajengaga... utagundua kuna mahala kunatatanisha.... hapo ndio tunajua wenzetu wametupiga mabao tangu zamani.

mahala kwingine kuna jamaa kasagwa halafu ikatengenezwa nyama ya baga...
hizi soseji tunazokula hizi jmn tunakula nyama za viumbe tofauti tofauti hasa binadamu.

sikuimalizia ila nahisi ntapata mengi zaidi
 
Kama ww ni jinsia ke basi uko vizuri,
Movie nyingi zinazohusu Intelligence missions huwa zinakuwa na ujumbe fulani na kuupata lazima uusumbue ubongo kidogo,

Yote uliyoyasema ni kweli kuna siri ndani yake na ni zaidi ya hayo,
Pia wanajaribu kuwatengenezea uoga mataifa adui waone wao wana teknolojia nzuri hasa kiusalama.....hii michezo wanayo sana wamarekani [emoji1]
Hollywood sometimes wanashirikiana na CIA kutengeneza taswira za kisayansi zisizo za kweli (Science Fiction) kujitapa kwamba wapo na security nzuri.

Nimekupenda bure princess ariana [emoji9]

Karibu ktk ulimwengu wa Movie princess ariana [emoji4]
 
[emoji7] [emoji7] [emoji7] halafu ile Gari anayotumia star kuzama nayo ni Rolls Royc nadhani ,sijui nmepatia[emoji23][emoji23] n another promotion....

kuna na kale kaugonjwa... na ndio magonjwa tunayoyatoa kwenye ma anti biotic tunayoyatumia ...unatibu uti unaondoka na typhoid at the same time kuna kilichopandikizwa[emoji22] [emoji22]mwilini mwako
 
Ni vi LTI TX4 (Anglon TX4) (London Tax sijui nn....)
Hawa jamaa wanajua sana kujipa Promo..

Kweli kabisa magonjwa nayo ni moja ya siraha wanapenda kutumia, ukiwaza kwa ndani zaidi unaweza kuta na hizi chanjo ni michezo yao mahususi ktk kushambulia...

ac0e89d0147eb5de59ce47dd6f844091.jpg
 
Hii Movie nmeitazama jana.. imenipa mwangaza fulani...
Movie za kizungu hasa kama hizi za kusadikika huwa kuna mambo wanayaonyesha ambayo mpaka utulize akili ndio utaelewa kuwa every point ya movie ina maana ,na promotion

Yani katika kila movie za mbele huko za mambo ya kusadikika huwa kuna Promotion, burudani,na siri fulani...

wakati naitazama mwanzo nilitaka kuitoa maana niliona wanafanya mambo ya kisadikika tu... lakini ilipofika mahala huyo jamaa ambae ni star anazamisha gari yake kwenye maji halafu anatokea chini ya maji kwenye head quarter zao.... nikapata wazo fulani,linalohusiana na Bermida Triangle kuna nadharia inasema kwamba pale kuna aliens base,,nmeanza kuamini sio aliens yawezekana kuna watu na hao aliens wanafanya big project...
maana nili imagine pale police wangeingia wasingetoka ..lazima tu wangeuwawa ili kuficha siri kuwa ndani ya maji yale kuna njia za kwenda mahala pa siri... na hata chombo chao kisingepatikana maana kingewekwa mahala humo humo ili iendelee kuwa siri... kwasababu ya ukubwa wa watu ambao wanayafanya hayo endapo watagundulika itakua sintomfahamu.... ndio sawa sawa na kingsman waliojificha nyumba ya mwamvuli wa duka la ushonaji nguo kumbe kuna zaidi ya ushonaji nguo kwa wale wenye macho makali...

halafu kuna mahala majamaa walifata hazina ya pombe... wakaenda na kakitu kadogo kama nembo fulani ya chuma ,wakapachika mahala pakajifungua... na hio sehemu ukitazama unaona zege la haja... nikakumbuka hazina za mjerumani.... nyinyi mnachimba wao wanakuja week moja mtu anakuja na vtu kama hivyo anagusa tu pamefunguka.... hata ukitazama majengo waliyoyajengaga... utagundua kuna mahala kunatatanisha.... hapo ndio tunajua wenzetu wametupiga mabao tangu zamani.

mahala kwingine kuna jamaa kasagwa halafu ikatengenezwa nyama ya baga...
hizi soseji tunazokula hizi jmn tunakula nyama za viumbe tofauti tofauti hasa binadamu.

sikuimalizia ila nahisi ntapata mengi zaidi
Uko vizuri sana....tafuta wadhamini ufanye kipindi Cha kuelezea movies utapata wadau wengi sana nikiwemo mimi (just kidding)

Movie nyingi za kizungu hata hasa hizi za kusadikika nyingi zinakua na maana tena nyingine zinakua na mkono wa CIA.
Mfano movie ya Starwar ilionyesha silaha ya laser,baadae Marekani kweli wakaja kuitoa rasmi silaha ya aina hiyo na mpaka sasa bado inaendelea na majaribio ili kuanza kazi rasmi kijeshi.

Kuna movie(sema nimeisahau jina) inaonyesha Risasi ikifata mtu hata akikimbia mpaka inampata,baadae kuna sehemu nikasoma kwamba kuna project Kama hiyo ipo ndani ya jeshi la Marekani.

Kuna movie nyingine ile ya Whitehouse Down,kuna sehemu Rais anafungua cjui mlango wa Base ule kwa kutumia macho, kipindi kile tulikua tunaona kitu Cha ajabu lakini leo hii kuna simu unatumia macho kuzifungua.

Pia kupitia movies wanatangaza bidhaa zao mfano bidhaa za Apple, Samsung,aina za magari,nk.

Kiufupi movie nyingi za Hollywood zinakua na maana ndani yake,ikiwemo kusambaza Propaganda za hao weupe.
 
Back
Top Bottom