Recent content by darison andrew

  1. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Patrick Karegeya: Mysterious death of a Rwandan exile; he was advising SA and Tanzanian intel

    Kalegeya deserved to die as he killed his countrymen else where in Wolrd he is resiponsible of what he consipired
  2. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Rage akinukisha tena simba

    siasa every where inawezekana Rage yuko sawa au asiwe sawa,pia wanaomksoa hawajui wanastaili kufanya nini
  3. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Shame on you ITV tuwasusie hawa

    hapana shaka kabisa tuiweka itikadi pembeni CHADEMA ni chma chenye CREDIBILITY ya hali ya juu ni kweli kuwa watawala hawana jipya bali kutumia nguvu ya dola.kama watanzania tuombe mungu sana kama Taifa tupo katika wakati mgumu kuliko ilivyokuwa wakati wa vita ya kagera
  4. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha kuona CHADEMA wanawachangisha watu hela Iringa wakati wanapewa hela ya Ruzuku

    Ina maana kwa wote mliomshauri mtoa mada kuwa haelewi wakati tulionao chadema wana sababu ya kununua magali,kuomba msaada huo wa kifedha mmeona conservative wakiomba hera sasa kazi uliyonayo ni kutoa maada sahii si kazi rahisi kwako kama unataka itikadi na si uhalisia
  5. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Mungu ni mkubwa
  6. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Hatimaye yule polisi aliyemuua mwalimu kwa risasi amefukuzwa kazi

    hali si shwari matukio ni mengi sana ya unyama unaowahusisha polis
  7. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hakuna atakayefanya kazi za CCM akajiita mwana CHADEMA tukamwacha

    kazi hiyo ianzee mara moja bila woga
  8. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Juu BAVICHA amhujumu Dr Slaa

    we are in point of no return watashindwa tu hata kama Watanzania hawapo tayari kudanganywa tena na wapuuzi kama hao
  9. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Fastjet: Kwa wale mlikuwa mnadhani itakuwa msaada kwa watanzania, someni hapa.

    tayari nimesafiri leo na fast jet nauli hiyo haipo tena ilikuwa mwanzo kukaribisha wateja niko mwanza nimelipa laki mbili na sitini na mbili two ways kwa angalia kwaneye website utaona kuwa nauli hiyo ahipo tena
  10. darison andrew

    JamiiForums Tanzania CCM walio ula!

    yetu macho!
  11. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    ZITTO AMEFANYA KAZI YAKE ATAKUMBUKWA WAKATI WOTE WA MAISHA YAKE AKIWA MBUNGE HAKIKA AMETIMIZA WAJIBU WAKE NI WABUNGE WALEWALE WATAMBEZA LAKINI KUSUDI NI MOJA KUIKOMBOA NCHI HII NIWAOMBE WANAJAMII WEZANGU TUFIKILI NI NAMNA GANI TUNAWEZA SASA KUTUMIA NAFASI ZETU KAMA RAIA WEMA KUIWAJIBISHA...
  12. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Comparing: Lowassa vs Pinda

    ni wazi kuwa LOwasa ni zaidi ya pinda Lowasa kila aliyechin enzi hizo alionja shughuli yake huyu bwana kash:becky:indwa kusuh bei sukali lowasa tatizo ni yaliyomkuta enzi hizo watanzania wanajua uwezo wake wa kusimamia kazi
  13. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Kanjanja mwingine wa elimu ni Dr. Hamis Kigwangala

    ni walewale ccm hawana jipya
  14. darison andrew

    JamiiForums Tanzania MJUE Lowasa

    NO RESERCH NO RIGHT TO SPEAK SO WE SHOULD LOOK THE FACT OF THESE
  15. darison andrew

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

    NI VIZURI HATUA ZICHUKULIWE:tongue:
Back
Top Bottom