Fact kabisa . binadamu ka Mimi anakuaje mtakatifu..afu watu utasikia una..kufuru kumsema papa vibaya wakat fact za biblia zinaonekana..afu huu ushabiki wa dini unatufanya tushindwe hata kufuata biblia inavosema..ni mawazo tu MUNGU anajua mwenyewe mana sisi binadam hatujakamilika kwa kila kitu
Kazi ya special forces sio kupigana vita kama unazozifikiria.. Wao hushughulika na special ops.. Mfano kwa tz ni ile ya comoros na ya congo juzi kati zote zilikua succesful.. Na bado scret missions ambazo hazijatangazwa na zishafanywa kama ile ya kwenda kuwateketeza maharamia wa somalia.. Kaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.