Mkuu,huwa napata shida sana kuona mtu kama huyu & co. wakina Lizaboni wanaanzisha/wanachangia uzi wa kitaalamu wakati wao hawana chochote cha maana cha kusupport kile wanachokitetea. Tatizo la kukosa elimu,weledi na busara. Nawasihi hawa jamaa wabaki kwenye propaganda tu za Lumumba where they fit best,kwani huko hutakiwi kutumia kichwa,ila huku kwenye taaluma za watu,wawe watazamaji tu.Unapokuja na uzi wa namna hii u should be very precise kwenye data na figures za suala husika.
Lazima useme before VAT watalii walikuwa wanakuja wangapi na after VAT watalii wameingia wangapi(with figures)
Lazima utueleZe ajira kwenye haya mahoteli kabla ya vat ilikuwaje na baada ya vat ikoje with figures.
Sio tu unakuja plain-plain na kiujumla jumla hapa unatafuta support...
No.. speak with supporting evidence.. Weka vielelezo hapa.
Nenda kaangalie data za Uhamiaji kwenye malipo ya visa au idadi ya watalii waliotembelea Tanzania mwaka huu afu linganisha na kabla ya kuweka vat afu ukileta majibu tutaanza mjadala
Kuwa muungwana tu kwa kusema "asante". Hupungukiwi na kitu!Nimeshabadilisha, kingine?
Umenikumbusha kuishukuru serikali, maana sukari imeshuka bei kutoka 2000 mpaka 2300 kwa kiloYeah ni kweli hata lile la sukari serikali Ilikuwa sawa kama lile la samaki wa Magufuli au boti ya bagamoyo.
Kufungwa kwa hoteli sio kiashiria pekee cha kuonesha mtikisiko. Hoteli hizo zinapungukiwa mapato, zinapunguza wafanyakazi na kadhalika.Sina haja ya kwenda huko, nitajie Hoteli moja ya Kitalii iliyofungwa kwa kukosa Watalii, hilo ndiyo muhimu kwangu mambo ya viza hayanihusu, isitoshe wanaopata viza siyo wote wanakuja kama Watalii, kuna wanaokuja kikazi, kielimu, n.k. hivyo kwangu ni kile kinachoonekana, nitajie hoteli xyz imefungwa kwa kukosa Watalii!
Kufungwa kwa hoteli sio kiashiria pekee cha kuonesha mtikisiko. Hoteli hizo zinapungukiwa mapato, zinapunguza wafanyakazi na kadhalika.
Ahaa, kwa hiyo kipimo ni wewe kusikia...then tuna hali mbaya.Hata hilo la kupunguza Wafanyakazi sijalisikia, kama ingetokea ni lazima ingekuwa hot issue hapa na kwingineko!
Sina datas zozote datas zangu pekee ni situation on the ground ambapo mpka sasa hivi hakuna Hotlei ya Kitalii iliyofungwa kwa kukosa Watalii wala watu wengi kupoteza kazi kwa mpigo kwenye sekta ya Utalii si Zanzibar wala Bara na hizo ndiyo datas zangu pekee!
Unapokuja na uzi wa namna hii u should be very precise kwenye data na figures za suala husika.
Lazima useme before VAT watalii walikuwa wanakuja wangapi na after VAT watalii wameingia wangapi(with figures)
Lazima utueleZe ajira kwenye haya mahoteli kabla ya vat ilikuwaje na baada ya vat ikoje with figures.
Sio tu unakuja plain-plain na kiujumla jumla hapa unatafuta support...
No.. speak with supporting evidence.. Weka vielelezo hapa.
United Republic of Tanzania Travel & Tourism Total Contribution to GDP Total Contribution to GDP - % share, 1988-2015 - knoema.comEnhe Barabarosa, tume statistics za Tourism
--JE idadi ya watalii imeongezeka?
Je Mapato ya Serikali yameongezeka au budget imedunda?
Ajira katika utalii zimeongezeka, kuna ajira mpya?
naomba uwasiliane na TTB halafu uje na statistics ili Watanzania uliowaambia kuwa ni sawa wakuamini
Waziri hata danganywa tena na Wakenya mwaka huu?
Sisi hatutaki kujua ulichoandika laa tunataka report na iliyoshibaSoma vizuri nilichoandika kama ukipenda, nimewauliza wale waliokuwa wanapinga, mbona sijasikia chochote kwamba Utalii umeathirika na Watanzania wamepoteza ajira kwenye sekta ya Utalii kwa sababu ya 20% VAT?