OkUnaleta Law bila kuzielezea huko ni kukumbushana kwa aina gani sasa... Msomi wewe
Barter trade haina kipimo cha thamani ya bidhaa inayobadilishwa, hivyo inaweza kuwa ya uonevu.kidogo ifanane na Butter Trade we Exchange goods for goods
Thanks for your Clarification Ndugu...Imenivutia ningejua naeza kuisoma wapi zaidi ningefaidika sanaBarter trade haina kipimo cha thamani ya bidhaa inayobadilishwa, hivyo inaweza kuwa ya uonevu.
Hii Low of exchange inaonya juu ya uonevu, unachomtendea mtu ipo siku nawe utatendewa hivyo bila kujali ni kwa wema au ubaya.
Haina tofauti na ile isemayo ''For every action there is equal opposite reaction''.
Hiyo ipo kila sehemu, kwanzia mitaani, kwenye vitabu, kwenye nyimbo hasa za Bob Marley.Thanks for your Clarification Ndugu...Imenivutia ningejua naeza kuisoma wapi zaidi ningefaidika sana
You mean law of energy conversationLaw of conservation
Provide other things remains constant the following are /will be possible in Tanzania
1.Girrafe seat comfortable in a seat of Boeing without being seen.
2.Tanzania to start provide financial support to USA,Sweden &Japan by 2018.
3.Tanzanite only in Tanzania but the top world supplier is India....
4.1.5 billions in swahili is vijisenti.
5.,....................................
6......................................