Kilichofanya Tanzania Special Force kuwa bora Duniani

Kilichofanya Tanzania Special Force kuwa bora Duniani

Hiyo nimeipenda. Toka lini nchi masikini ikaongoza kuwa jeshi bora?
 
Hii ni Top 10 best special forces 2016 duniani

e3d1fedebabd8529cd12da748fcde6b8.jpg
Nenda hadi kwenye 30 utawaona wabongo
 
Tanzania katika historia vita ya kitoto na kijinga tuliyowahi Fanya ni ile ya kunywa Maji na kwenda kupiganà huku tukipiga kelele za Maji Maji. Hakika lazima tuwe kwenye rank za Juu.hahahahahahahahaha
 
Ukiambiwa Tanzania kwenye football kwa mujibu wa FIFA ni ngapi duniani unadhani ni vigezo vipi wanatumia??? Je ni kuwa na viwanja bora, jezi na mipira ya kisasa?? Ukilipata jibu hilo basi unaweza ukalitumia hata katika nyanja za kijeshi pia.
 
Tanzania katika historia vita ya kitoto na kijinga tuliyowahi Fanya ni ile ya kunywa Maji na kwenda kupiganà huku tukipiga kelele za Maji Maji. Hakika lazima tuwe kwenye rank za Juu.hahahahahahahahaha
Kazi ya special forces sio kupigana vita kama unazozifikiria.. Wao hushughulika na special ops.. Mfano kwa tz ni ile ya comoros na ya congo juzi kati zote zilikua succesful.. Na bado scret missions ambazo hazijatangazwa na zishafanywa kama ile ya kwenda kuwateketeza maharamia wa somalia.. Kaa na mtu wa military mwenye uzoefu atakwambia.
 
Kwa ufafanuzi zaidi. Kila mwaka hutolewa orodha kwa viwango, kwa mwaka 2016 Pakistan Special force imepanda hadi #1

The SSG (Special Services Group) is a special operations force of the Pakistan Army. It is quite similar to the U.S. Army’s Special Forces and the British Army’s SAS. The unit was created in 1956, it also known as “Black Storks” a name derived from their unique headgear the “Maroon Beret”. The SSG considered one of the world’s best special forces because of their courage and bravery. As a Russian president once said that if he had Pakistan’s army and Russian weapons he could conquer all the world because they are very brave. The SSG has trained for these specific missions: Asymmetric Warfare, Special Operations, Counter-Proliferation, Unconventional Warfare, Foreign Internal Defense, Special Reconnaissance, Direct Action, Hostage Rescue, Counter-Terrorist and Personnel Recovery. Recently, SSG has been active in anti-terrorist operations in Pakistan’s restive western borders with Afghanistan and fighting Islamic extremists in Pakistani cities.
Tupatie na source ya quotation ya rais wa Urusi[emoji35] [emoji35]
 
Hii ni Top 10 best special forces 2016 duniani

e3d1fedebabd8529cd12da748fcde6b8.jpg
Sikubaliani na utafiti wa kibaguzi aisee, special forces bora duniani huwezi kuiacha Israel na Korea kaskazini, majuzi nilikuwa naangalia clip ya mazoezi ya makomandoo wa Korea kaskazini, aiseee acheni bana, huwezi kuiweka India na Pakistan ukaiacha Korea kaskazini na Israel, hizi ni tafiti za staili ya Twaweza kabisa, ubora wa special forces ni ubora Wa jeshi pia, special forces hutumika ktk mission ngumu zaidi na ambazo si za kawaida.
Narudia tena Korea kaskazini ni hatari jamani sijapata kuona, Pakistan niliwahi kuona clip zao, mkwara wao ni kula nyoka na damu yake ila Kwa ukakamavu na uhatari Korea kaskazini jamani ni hatari, sema tu inachukiwa kimataifa ndo maana hawawezi kusema kweli kwamba wana special forces hatari.
 
Mkuu mazoezi xyo tija!! Je wame successful mission ngapi!?
 
Nimepima ila sijaona kilichoifanya TZ special force iwe bora Duniani. Mimi nachojua hakuna nchi masikini ikawa na Jeshi bora duniani. Yeyote anayejua achangie ili anielimishe Mimi nisiyejua.
Tz bado sana
 
Na bado scret missions ambazo hazijatangazwa na zishafanywa kama ile ya kwenda kuwateketeza maharamia wa somalia..
Mkuu naona wewe ni mtu wa video games fantasy NAVY SEAL wenyewe walichemka SAS wenyewe walichemka, makomandoo wetu tuliowatuma BIAFRA hakurudi hata mmoja,ni kweli tunao vijana wazuri hawajawahi kufanya kazi peke yao.
Kanali bakari hakuwa saizi yetu.
M23 pia tuliwachangia south african airforce ilifanya kazi kubwa,
 
Back
Top Bottom