Recent content by Daniel M J

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri Walimu wa Tanzania kuanzia Kesho wawe wanakuwa hivi wawapo Madarasani huko Mashuleni Kwao

    This is more than nonsense. Hiyo ni shule au ni depo ya JKT Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Mkuu hujakipata tu?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Watu 10 hatari nchini: Evarist Chahali akwepa mtego wa kwanza kutoka "kitengo"

    Atakua anajitekenya mwenyewe tu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Do you know the legal basis of Fatuma Karume's claim?

    Pole sana kwa kuishi dunia ya kukariri, dunia ya mazoea kuwa askari ni darasa la saba, naamini ukipewa hata CV ya huyo mdaiwa wa FK utafuta post yako
  5. D

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Na mimi nakitafuta. Ukikipata kabla ysngu ni DM
  6. D

    JamiiForums Tanzania Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Fedha iliyoteleza by Juma Mkabarah. Very best story i ever read. Halafu kile cha Chonya of Chilonwa sijui kinaitwaje TITLE yake.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi JamiiForums ni Corporate entity?

    Whether JF ni corporate entity au la, kumbuka tu ile VEIL DOCTRINE, au mwavuli unaomkinga mtu against mashtaka huweza kuondolewa na akashtakiwa kwa manufaa ya UMA. ref case ya NURDIN AKASHA.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

    Yani wewe na wenye akili kama zako ndio mnapaswa kuwemo kwenye orodha ya waliokosa mkopo
  9. D

    JamiiForums Tanzania My little story with Makonda about leadership, kwa faida ya wasiokujua

    Pale Masikio yanapozidi kichwa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaojua Kinyamwezi.......

    Wabhezya mnyanda wa kumwa Ntemi Mirambo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Yani Rais (m/kiti CCM Taifa)agombee uenyekiti CCM Mkoa wa Geita[emoji16]
  12. D

    JamiiForums Tanzania Neno la Kuudhi: Bado Tungemkataa Lowassa na Mabadiliko Yake!

    Tatizo lako wewe ni kilaza, sasa mimi ngoja nikuache
  13. D

    JamiiForums Tanzania Neno la Kuudhi: Bado Tungemkataa Lowassa na Mabadiliko Yake!

    acha kutokwa udenda, maana hata povu lishakukauka. Mimi sijamtaja Lowasa hapo na sina sababu ya kumtaja. Nimekuuliza mna takwimu za mapato ya bandari tangu mizigo ipungue? acha ujinga
  14. D

    JamiiForums Tanzania Neno la Kuudhi: Bado Tungemkataa Lowassa na Mabadiliko Yake!

    Mnachekesha sana ninyi, kukauka lango maana yake biashara za magumashi hazina chance tena. Labda tuwaulize, mna takwimu za mapato ya langoni?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Neno la Kuudhi: Bado Tungemkataa Lowassa na Mabadiliko Yake!

    Vilaza bhana, mpo kama kasuku, anachoimba bosi wenu na nyie mnarudia hivyo hivyo. UDIKTETA unaujuabau umekaririshwa. Mbafu kabisa
Back
Top Bottom