Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

my Mentor Ben R Mtobwa
tuanze na riwaya zake za watoto
kipofu Mwenye miwani myeusi
mpishi Mwenye kibiongo
mwalimu Mwenye mguu wa bandia
HAPA WAHUSIKA NI ABDUL SELEMANI NA KASHENGO MSHANA CHINI YA INSPEKTA MWANDAMIZI SHANI MWANANA.
Riwaya zake za wakubwa
zawadi ya ushindi
pesa zako zinanuka
tutarudi na roho zetu?
roho ya paka
malaika wa shetani
najisikia kuua tena
salamu toka kuzimu
mikononi mwa nunda
najisikia kuua tena
lazima ufe joramu
nyuma ya pazia
mkono wa damu
kifo mkononi
dar Es salaam usiku
humu wahusika wakuu ni joram kiango na nuru pamoja na inspecta kombora
isipokuwa zawadi ya ushindi ndo utakutq amehusika sikamona,MDOE na Lucia,pia dar usiku utamkuta hasara,hasira,rukia na Peterson
nq kwenye pesa zako zinanuka utawakuta kina kandili,bon koro,Dora,na kanda wa kamkanda.
ukisoma moja ya hivi lazima utatafuta cha pili.
nakumbuka miaka ile nilijificha ndani ya shimo la mgomba nikafunika na majani juu,ili tu nikitafutwa nisipatikane.kisa tu nasoma hizi novel.zilinishape sana!
 
Mikononi mwa nunda by Ben Mtobwa, umelogwa au umetumwa" mtunzi simkumbuki
 
Halafu hawa bongo movie wanzingua na story za ajabu, wandecheza hizo riwaya kiufasaha wangetisha ile mbaya. Simu ya kifo iliigizwa ila mh
 
Kikosi cha kisasi-musiba
Amekufa anacheka.....
Kaburi bila msalaba........
 
Fedha iliyoteleza by Juma Mkabarah. Very best story i ever read.

Halafu kile cha Chonya of Chilonwa sijui kinaitwaje TITLE yake.
 
Unakumbuka yule jamaa aliyepambana na joka kubwa...chatu akalitia meno mpk kuliua...aliporudishwa kwa baba mkwe usiku aliota akasema nyoka...chumba kizima wakaanza kutafutana
Hahaaaa namkumbuka sana aliambiwa atapelekwa hotelini ......kuna jamaa na stori zake za mapishi alikuwa akinivunja mbavu
 
Sidhani kama alifukuzwa, ila alienda Botswana kufanya kazi kama wataaalamu wengine wanavyoenda, nadhani kesharudi Tanzania

Hakufukuzwa ila kitabu chake cha Rosa Mistika ndio kilipigwa marufuku pamoja na vya David Maillu yule Mkenya. Nae alikua na vitabu vingi akiandika kama peoms, he was also good.
 
Back
Top Bottom